Recent content by Lilian Edward

  1. L

    JamiiForums Condoms 'too big' for Indian men

    Mummmh
  2. L

    JamiiForums Muungano wa Tanzania uko katika hatua ya kwanza kuelekea kuvunjwa

    Kwelikabisa cion umuhimu wakuwabembeleza hawa wazenji kwasababu tanganyika tunawabeba sana kivyovyote wanadai wanaweza kujiongoza so tanganyika tuwabembeleze kwa kipi hapo wanakatiba yao na wimbo wao wabunge wa bara fungukeni jamani wajukuuwenu na vitukuu watakuja kuwalilia makaburini kwenu...
  3. L

    JamiiForums Picha 11 za Rais Masikini kuliko wote duniani na mambo 9 yanayomuhusu

    Nimfano mzuri lkn pia nyerere aliishi hivyo na kujumuika na wananchi wake na cio kulindwa mpaka nguozakuvaa
  4. L

    JamiiForums Ndege iliyopotea kama ingekuwa ni ya Tanzania?

    Tuwe wazarendo tuiwazie mema nchiyetu
  5. L

    JamiiForums Wenye ndoa zilizovunjika tupeane uzoefu tafadhali

    Matatizo ktk ndoa nikuvumiliana mungu anakupatia mwenZ ambaye hamfanani naekwaio niwajibu wakila mwanandoa kubeba mapungufu ya mwenza wako pia kutofikilia yaliopita kila cku muone ni mpya kwako acha kusema nimekuzoea ndokawAida yake pia kusahau yaliopita
  6. L

    JamiiForums Timbwili Lahamia Kanisani Moravian Kinondoni-Ibada Yashindwa Kuendelea

    Unapocoment uwena uhakika pia rudi nyuma fatilia moravian tanzania hakuna ushoga labda utuambie ealengwa mlisain lini napia ktk jimboletu tatuzo niupotevu wa pesanacio habari unazoleta ilahakuna kitu kiitwacho ushoga moravian
Back
Top Bottom