Recent content by Likwanda

  1. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa member wa Sauti Sol, Willis Chimano, amtambulisha Boyfriend wake!

    Hii ililetwa zamani sana hapa jukwaani na jamaa inaonekana hajabadilisha ni yuleyule. You better whatch your back!!!
  2. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

    Huyu si ndiye aliyetoa list ya mashoga baada ya Makonda kuomba kila anayemjua mtu anajihusisha na ushoga atoe taarifa?
  3. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Mueleze kwamba zilikua zinavutika kama manati.
  4. Likwanda

    JamiiForums Tanzania (windows OS) Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh

    Hii chief ni free kabisa, ukiingia getintopc.com. Tupendane jamani.
  5. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Wireless earphones zenye bass.

    Mimi binafsi nilikua napenda sana Oraimo kwa ajili ni low budget gadgets ambazo zinakupa muziki mzuri, ila katika kutafuta nikapa Raino aisee hiyo ni balaaa, ina muziki mzuri na bei yake ni chini ya 20k. Naona ni toleo jipya linatafuta kupenya ktk soko. Mziki bass lakitosha na ni clasissic hadi...
  6. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Chadema ndio wanapaswa kulaumiwa na wanachama wao kwa kukataa kusaini kanuni za maadili na sio kuilaumu Tume Huru ya Uchaguzi

    Warioba ni Jaji mstaafu, bila shaka atakua anakuzidi kuijua sheria sana hivyo ingekua vizuri ungenyamaza tu.
  7. Likwanda

    JamiiForums Tanzania TUPENI mrejesho nyie mliotest Hizo sound

    Bidhaa za kichina hizo ambazoanufacturer an kupa offerya kucustomizer jina unalolitaka, Sasa Majizo hicho kiwanda kipo wapi, na lini alikua mbunifu wa mambo ya sound system!?
  8. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa mtu aliyechukua mkopo toka Tala hivi karibuni

    Ndugu yangu hakuna watoa mikopo mitandaoni wakakupa 1m, ni kuanzia 30k hadi 120k tena unaweza kujikuta unalipa riba 80% na ujiandae kudhalilishwa.
  9. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Nimenunua taser ndogo

    Mh!! Sasa kama zinauzwa kama njugu uswahilini, je hao wakabaji vikiingia mikononi mikononi mwao si ndio tumekwisha kabisa.
  10. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze wakuu fridge za hisense znakuaga na rangi 2

    Namba saba ni maxmam cold temperature, ukiweka namba hiyo vitu vitapata ubaridi kwa haraka au kuganda kwa haraka kama unataka kugandisha. Shida ni kua ukiweka namba sama fridge haitakua ina fanya themostart hivyo itapelekea umeme mwingi kitumika kwa maana haitakuwa inajizima na kujiwasha...
  11. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Tujadili uwepo wa idadi kubwa ya wenye nyumba ambao ni maskini hapa Tanzania hasa jijini Dar

    Unajua kua thamani ya kiwanja inapanda kila siku, sasa kama ni umesikini umeletwa na nyumba basi unaweza kuuza ukaenda kujenga sehemu ambayo mji unakuja na ukapata angalau kamtaji ka kuanzia au kuendelezea biashara.
  12. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Tujadili uwepo wa idadi kubwa ya wenye nyumba ambao ni maskini hapa Tanzania hasa jijini Dar

    Hakuna investment nzuri kama real estate, nyumba ni investment bora ambayo inakupa vitu vingi kwa wakati mmoja. Kwanza inakupa uhakika wa sehemu ya kuishi bila kusumbuliwa kodi, inakupa uhakika wa kukupa pesa ya uhakika iwapo unafanya biashara ya kupangisha au unapofanya maboresho ya nyumba n...
  13. Likwanda

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

    TV ukishazoea LG, Sumsung, Toshiba, Philips hizi brand zingine unaweza usione ni kama TV. Kama umeanza na TCL, Hisence, Evvol,Skyworth au star x na ndugu zake wa daraja la pili, kisha Ukipewa Alitop,Solamax, Maisha, Mo nawengine wengi wa daraja la kichina utaona kuna tofauti sana japo sio kubwa...
Back
Top Bottom