Soma haka kaushairi "NJIWA" tafakri na utajua kwa nini hawa watu wamegeukia upande huo.
1. Njiwa unapomtunza, vema unapomuweka,
Na iwe utamfunza, sheria inavyotaka,
Mambo hayatakutanza, ukawa unasumbuka,
Njiwa atakutoroka, iwapo hukumtunza.
2. Kiumbe ataka kazi, kwa uzuri kufugika...