Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
My friend; Independent/cy; is a relative term!! I respect Rakesh Rajani big time and TWAWEZA of his time; he did a great job at HAKI ELIMU and TWAWEZA the predecessor; not after he left!! The TWAWEZA; now transformed into TWANUNULIKA; is a shadow of itself; sorry!!
IPSOS/SYNOVATE; given what I know about it and my Kenyan experience; I reserve my comment!!
Bottomline is reseach reports from Tom; Dick and Harry or whatever you want to call them not withstanding; the true opinion of the general citizenry about our countrys political future is still a few weeks away, on October 25th 2015; The Ballot Box. period
Hayo ni maoni yako, twaweza wenyewe ndio waliosema wako independent sio mimi na siwezi kuwabishia coz wenye taasisi yao ndio wanajijua zaidi kuliko sisi tuliokuwa nje.
Kwa kuwa ulishajiturn na tayari una maamuzi ya kupinga kila kila kitu hata kama ni fact ilimradi uwaridhishe mabwana zako sikushangai. Haya kama hayo wamekuwa twanunulika ipsos ni ya kimataifa na ya tatu kwa ukubwa duniani na ambao pia walitoa matokeo yanayoshahibiana na ya twaweza. Ni kampuni ambayo nchi 87 zimewakubali then nyinyi kikundi cha watu wachache mnapinga eti ni ya wakenya, hapo ndipo unapoonyesha ni jinsi gani ubongo wako ulivyofubaa.
Sometym shirikisheni ubongo wenu si kila kitu cha kupinga hata kama umeagizwa kufanya hivyo huo ni utumwa wa fikra na mawazo. POLE SANA
Eti i reserve my comment for ipsos. Ujinga mtupu huna unachokijua umeona wapi wananchi au wanachama wa vyama vingine vya siasa wamejitokeza na kuupinga utafiti wa TADIP? Wengi wameukubali na kwa mtazamo kuwa kwa sababu ni ya Chadema kamwe hawawezi kutangaza eti Mgombea wa CCM anafanya vizuri. MNATUAIBISHA SANA HUKO NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU TUNAONEKANA WOTE MAZEZETA KAMA NYIE MISUKULE YA UFIPA