Je ukiwa nayo hiyo TV box unaweza kuona channel zile muhimu mfano EPL au champion league au unapata free channel tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na TV za sasa bapa Kama Samsung au LG za LED utapata hizo local channels Kwa kutumia antena ukienda dukani muulize mwenye duka hiyo TV ina kin'gamuzi ndani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchanganuo mzuri ila umesahau kwamba kuku wa kienyeji wakishataga mayai 10 au 12 hutaka kuhatamia (kulalia) hapo hawatagi hata ukiwanyang'anya mayai wanachukua muda kuanza kutaga tena hivyo si rahisi kupata hayo mayai ya kila siku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.