okay, uwekezaji unaotakiwa ni wa tsh 10,000,000. ( milioni kumi)
Huu uwekezaji unahitajika kama operating capital.
Uwekezaji huu unalenga katika kupata malighafi kama mafuta ya mawesa, Materials muhimu( breaching earth) katika utengenezaji wa aya mafuta, p kutumia refinery machine , packiging...