Recent content by Lihove2017

  1. L

    Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

    Kama mwanamke uanaamua kuingia kwenye uanaharakati jua pia ndoa yako lazima iwe ngumu kwako.maana kuna vielement vya kuota mapembe hivi.wanasahau values za asili za mwanamke wa kitanzania . Sijui kama mtazamo wangu ni sahihi.wengi wa wanaharakati wa kutetea haki za wanawake ni single mamas...
  2. L

    Tetesi: Madeni ya Mishahara kulipwa mwezi ujao

    Hivi vitashughulikwa vyote mwaka mmoja kabla ya 2020 au kabla ya octoba 2020
  3. L

    Tetesi: Madeni ya Mishahara kulipwa mwezi ujao

    Kumbe zile B200 zilikiwa za kichina
  4. L

    Tetesi: Madeni ya Mishahara kulipwa mwezi ujao

    Mimi sina uhakika .kama angekuwa analipa mwenyewe Raisi ingewezekana.maana watendaji wake wanaishiaga kwenye michako michakato na siyo kulipa.mpaka Raisi aingilie kati tena.napendekeza Rais angekuwa na kama ka application hivi ka kumalati kujua status ya utekelezaji agizo lake Kwa mfano...
  5. L

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Sifa zako ulizotaja ni basic sana.so taja zingine kama unazo kumfanya mtu wa aina unayemtaka ajisumbue kukutafuta. Otherwise sifa zako ni za kwaida sana wako wengi wenye sifa kama hizo. Lakini pia hongera kwa kujaribu kujipambanua vizuri.
  6. L

    PAC yashtushwa na mtaji wa 150,000 wa mwekezaji Mlimani City

    Kwani kosa la muwekezaji wa mlimani city ni lipi hasa?ni mtaji mdogo au halipi gawio kama walivyokubaliana? Hilo la mtaji mdogo tupa kule! Sababu mtaji unapatikana sokoni,so ukiwa na biashara nzuri unauziwa mtaji kwa mkopo. Hao wasomi wa UDSM.Ni wasomi wa zamani sana ni maprofesa walio soma...
  7. L

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Kajifunze kuandika kiswahili kizuri Umeandika hovyo kabisa
  8. L

    Mtu ambaye hukumtegemea kabisa anapokufanyia jambo hili unapatwa na kigugumizi cha hisia

    Nilishaacha kusoma nyuzi za huyu Gudume kwa sababu ana kamba nyingi sana huyu.ila nimejiashau nikausoma huu uzi
  9. L

    Ushauri: Alisema nimtumie nauli sikutuma ameni block WhatsApp

    Du kweli wanawake wanatapeli karahisi sana.hivi bado watu wa aina yako wapo? Maana huu ulikuwa ni mchezo wa zamani sana kule badoo
  10. L

    Natafuta rafiki wa kiume

    Vipi anayetokea sikonge atakufaa?
  11. L

    Mpenzi wangu wa zamani ananiambia hampendi mume wake aliolewa kufurahisha jamii, ananipenda mimi

    Vipi bado hajakuomba umrushie kiasi flan anatatizo anataka kulitatua? Kama bado vuta subra labda keshokutwa
  12. L

    Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

    Mbona huelezi vizuri.huyo baba mwenye nyumba ndiyo aliyevuruga ndoa nyenu.maana unaonekana tayari ulishakuwa nyumba ndogo yake.Halafu akaamua akakusogeza karibu hapo kwake.kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe. Mara huwezi kuwa na baba mwenye nyumba kwa sababu tayari una mpaga bosi wako.
  13. L

    Mume wangu anapoteza hela yake bure, mimi sina uwezo wa kushika mimba

    Najua unajua kwamba hakuna siri itakayo dumu milele.Vipi umesha maliza ile nyumba yako unayo jenga kisirisiri kule uchagani?
  14. L

    Kafulila: Tunapigwa kwenye ujenzi wa Reli ya STG JPM hasemi gharama za Mturuki ni kiasi gani kama mchina

    Kama ni kweli yeye amesema hayo basi uwezo wake wa kufikiri umepungua kwa kiasi kikubwa sana. Huwezi sema umehama upinzani kwa sababu unalizishwa na utendaji harafu hapo hapo unakunya mavi sebuleni.subiri aone utakachofanywa S nii utaratibu wa huko uliko kupeleka hoja zako kwa wahusika kwa...
Back
Top Bottom