Recent content by LightAngel

  1. L

    Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    kwa sasa upo wapi huko kusiko na swali nami nikufate ndugu?
  2. L

    Majibu ya Mnyika kwa Zitto ya Ubunge Ubungo 2010

    Kama kweli haya kayasema Mnyika, Ni vizuri, kwa maana ili taifa limejaa watu wanfiki ni hatari, hawana rangi tukawajua upande wao cc Zito
  3. L

    utafiti mpya kura za maoni,lowassa bado hakamatiki azidi kukubalika .

    Yaani sisi binadamu, Mungu alishatuona kuwa wote tumepotoka. Namuona mtu mmoja aliyekuwa peke ake miaka mi3 nyuma leo ndo ana wote bila hata maelezo yoyote.
  4. L

    Pigo la tatu kwa Lowassa, bado la Mwisho mwezi Mei

    Matusi yanawachafua ninyi na mnaowashabikia pia. Hivi wasipochaguliwa ninyi mtabaki na utu wenu kweli?
  5. L

    Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Kama askofu ni muovu na hataki kukiri uovu na kuomba msamaha, unadhani atawezaje kumhudumia Freeland, Watakatifu/ Manabii wa Yesu hujulikana kwa matunda yao na kufidi nchi si moja ya matunda hayo!
  6. L

    Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Kwani siku hizi wameuondoa uchakachuaji wa karne za kati?
  7. L

    Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Hapana, haikutolewa kama sheria kwamba kila ukifika mahala patakatifu ni sheria kuvua viatu ili uwe mtakatifu, kwa maana katika ibada zote walizofanya waisrael wa mwanzo mahala patakafu, haikua sheria kuvua viatu, si kwa kuhani wala waamini, na katika matendo ya watatifu wa Mungu hakuna kuvua...
  8. L

    Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Na vp Mungu akihukumu huo mfumo, na wewe ukiwa ndani yake, utahisi hatendi haki, kwa maana amekupa uelewa wa kutambua kuwa ni mfumo usio na kweli ndani yake. Na hukumu kwa marehemu(kwa dhambi ya kuoa wake wawili) na kuombea marehemu vipo kwenye vifungu vipi vya biblia ili nami nipitie?
  9. L

    Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Vp hii ya kuvua viato nayo ina msaada kiroho?
  10. L

    Ni Laana kwa Afrika kufuta vibali vya Uchawi na Uganga Tanzania

    Nani anatulaani @Yerico Nyerere
  11. L

    Paul Makonda afunguka

    Video/Audio kwenye gazeti? duh!
  12. L

    Scientific proof big bang never happened

    too little to understand this my friend. if God intend to imply the image of your face, how many faces God have, you need to grow into it to come along with, otherwise its a curse to you!
  13. L

    Waziri Membe mgeni rasmi tamasha la Wasabato leo Uwanja wa Taifa

    Alikuja kama kiongozi wa serikali, kutambua uwepo wa serikali, na kwa serikali za kidunia sidhani kama angepatikana msafi mbele ya Mungu, maana kwa sheria za Mungu hata hao unaodhani ni wasafi hawawezi simama.
Back
Top Bottom