Kumekuwa na maneno kutoka kwa wachambuzi na wdau mbalimbali wakidai kuwa yanga Ili itoboe kwenye makundi nilazima wapate mtu kama Mayele, vipi kuhusu mahasimu wao Simba?
Biblia kama kitabu kiliandikwa baadae sana baada ya kifo Cha kristo.
Kabla ya hapo watu walirithishwa historia ya ukombozi kwa njia ya mapokeo.
Hata hivyo walikuwepo waandishi walio andika habari za manabii kwakuwa karibu nao au kutumia taarifa za mapokeo.
Sent from my Redmi Note 8 Pro using...
Watawala wanajua kututumia, leo kwakuwa TEC wame challenge Serikali limeibuliwa hili, kesho bakwata waki challenge Serikali linaibuliwa lingine.
Hii yote ni kwakuwa watanzania hatupendi kufikiri ndiyo maana hoja dhaifu zinatumika kufunika hoja nzito.
Sent from my Redmi Note 8 Pro using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.