Kinachoufanya mji wa IFAKARA kuwa juu ni uwepo wa vitu vifuatvyo
1) Hospital kubwa ya Rufaa ya St.Francis Referral hospital
2) Chuo kikuu cha Afya St.Francis University College of Health and Alied science(SFUCHAS) kwa ngazi ya Udaktari na kozi zingine za Afya.
3) Taasisi ya utafiti (IHI)...
Ha ha mkuu hiyo kitu achana nayo kabisa broo..mlengwa ya hiyo kitu ni mzungu mwenyewe bana..kumbe kuna nchi zometagetiwa alooo...ni kutokana na kukataaa millenium mpya ya makubaliano ya kumove kutoka civilization hii kwenye nyingine zaidi..ila kuna mabwana kama 3 walikataa ..ndo utengenezaji wa...
inasemekana lakini kuwa jamaaa alipewa diri na wenye kanisa kuandika the trinity and central dogma ya jesus geneology...
mkuu da vinci ulishawahi sikia hii fununu...?
And inasemekana kuwa jamaa aliandika dogma katika codes ambapo maaskofu huwa wanaenda kupitia kuupdates the secret hidden...
daaaah sema Vinci nae sio mtu poa sana ...juzi nilikuwa napitia documentary flan inasemekana kwenye ule mchoro wa The last super ,ile picha wamegundua ina particle ndogo ndogo za Viral plus bacterial as well as Fungal DNA( RNA) ..manake huyu jamaa alikuwa anachanganya material ambayo mpaka leo...
Kuna kitu watu huwa hawawezi elewa kwa sababu they cant think outside the box..
Wea re living in a simulated world( universe) ..
Ni somo pana sana hili kiasi kwamba ukimweleza mtu hawezi kukuelewa na zaidi utaishia kuzinguana nae kwa sababu atakuona unapotoka sijui umemdharau muumba aliyekuumba...
Hakuna kutu kitakachokuja kuja kuonekana maishani mwako kama subconscious mind yako itakuwa haijavibrate na kurespond kwa idea yake...
Meaning kwamba maisha yoyote yataonekana kwako kama uliihusisha mind yako before... mind yako ndo yenye kuamua kije au kisije .. kila kitu kipo na hakipo at the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.