Wakati wa michuano ya kombe la dunia niliota ndoto nikiwa navuta bangi na lionel messi, niliiwaza sana ndoto hii baada ya kuamka lakini sikuweza kupata maana yake .
Na kuna siku pia niliota ndoto kuwa diamond platnumz alikuja geto kwangu kunikopa 5000. Je hizi ndoto tafsiri yake ni nini au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.