Nadhani tatizo kubwa ni namna ambayo Mohamed Said ameamua kuitazama Historia hii. Kuna wakristo wengi sana wameshiriki kupigania uhuru mf Rupia, Pombeah, Vedasto Kyaruzi, Mutahangaya, Fiah, Kasela bantu, Kirilo wa Moshi n.k, sambamba na waislam hao kina Sykes. Halafu, hawa wapigania uhuru wa...