Recent content by lidasi

  1. lidasi

    Mbet wamefilisika au wanataka kunitapeli?

    05 May 2025 Sasa inshu kubwa kuliko hii imejitokeza kwa waendesha vindege wa WasafiBet. Kwa siku nzima ya juzi jamaa walizuia kutoa pesa, halafu jana wame-deactivate accounts za wakamaria wenye zenye mamilioni ya pesa. Wanachodai ni system errors na sababu kama hizo.
  2. lidasi

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Wewe tupia wa type zile zinazokuvutia zaidi wewe binafsi, hizo type zengine achana nazo mkuu, watazipost wengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. lidasi

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Tako hili. Wonderful.. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lidasi

    Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

    Wataalam wanasema kwamba kama una mpango wa kuua chawa ama viroboto jifukize, ila kwa covid19 kujifukiza hakuna manufaa. Zaidi, unaweza leta madhara katika mfumo wa hewa wa ngozi, kwakua mfumo huo ni mahsusi kwa ajili ya hewa ya kawaida iliyopo katika mazingia, na sio ule moshi emited kipindi...
  5. lidasi

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Habari ya asubuhi Tanzania, Afrika Mashariki & Kati, nawatakia siku njema wandugu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. lidasi

    Rais Magufuli aliposema tuna akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha hawakuamini, sasa tunaenda mwezi wa tatu

    Hapo ndo tulipokosea ndugu, swala sio wao walifunga lini mipaka yao ili raia wao wasitoke nchini mwao kuja kwetu... Swala ni lini sisi tulitakiwa tuifunge mipaka yetu, ili wao wasiingie kwetu, ili kuzuia kuingia watu waliopata hiki kirusi. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. lidasi

    Rais Magufuli aliposema tuna akiba ya fedha za kigeni kuendesha Nchi kwa miezi sita bila kuzalisha hawakuamini, sasa tunaenda mwezi wa tatu

    Rikodi zinaonesha kuwa fist confirmed case Tanzania ilikua at 2020-03-16. => Kabla ya hapo, mipaka ya nchi iliendelea kua open. => Hata baada ya kisa cha kwanza, ni safari kutoka nchi zilizopigwa sana na kirusi ndizo zilizuiliwa. => Kipindi chote hicho watu wanaenda makazini/maofisini...
Back
Top Bottom