Recent content by Libunda

  1. L

    JamiiForums Tanzania Usichukue Nguvu zako kumpa nguvu Mwanamke (empowering woman). Bali tumia nguvu alizonazo kumuwezesha

    Hahaha..shiga nzee kula hicho kishumba..
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

    Hahaha..kwahy wapare wapo hvy..
  3. L

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Hata mimi nipo darasani..yaan najifunza mengi
  4. L

    JamiiForums Tanzania Usimfanye mtoto wako kuwa mtoto wa kambo alelewe na baba au mama ambaye si wake. Atakosa amani, uhuru na furaha kwa miaka yake yote ya utoto

    Robert Mrungu na akujenjee..mwana una akili weee..nimejikuta tu naongea kipare..Mungu awabariki waliokuzaa..Umeongea vyema na ukweli mtupu..
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

    Hahaha hahaha.. yaan hii thread nausoma nipo kwenye gari nimecheka sana..Mkuu mke anauma sana
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAESA hawajaita watu waliowafanyia usaili tangu mwaka jana?

    Nimesoma kozi za uhasibu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAESA hawajaita watu waliowafanyia usaili tangu mwaka jana?

    Nilibook,nikaitwa kwenye training,nikafanya interview toka mwaka jana mwez wa 10 mpaka sasa holla
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAESA hawajaita watu waliowafanyia usaili tangu mwaka jana?

    Si kweli mkuu. Yaani utakuta umesoma na mtu kozi moja yeye kaitwa tena within ya 3 weeks. Inaumiza sana
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAESA hawajaita watu waliowafanyia usaili tangu mwaka jana?

    Iteni watu... Huo sio ungwana jamani. Mtu anafanya interview toka mwaka jana mpaka leo hajapangiwa place ya kufanya kazi, ila utakuta wengine wameitwa kwenye interview na within 3 weeks wameitwa kwenye training. Na ukiangalia mmesoma kozi sawa, hata kama watakuwa wametofautiana kwenye GPA au...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Jirani yangu nipo kwa Singa
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Chanika ni Ilala vijijini
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nimeenda Chanika. Ni mbali sana, mnaokaa huko mpewe maua yenu

    Hahahah unasema.Zingiziwa Kuna Huko Kwa Makamo wa raisi panaitwa Homboza ndo kwetu Huko..
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Mkwe wangu ananivunjia heshima

    Robert Heriel Mtibeli Njoo utoe hoja hapa Maana Mtibeli ana principle zake..Mpk nikakukumbuka JINSI unavyofundisha mtt wa kiume kuwa Mwanaume..
  14. L

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia Jeshini

    Hahahaaaaa yaan nimechekaaa sanaaa..Nahisi km ulienda Mlale songea Moja hiyooo hahaaaaa
Back
Top Bottom