Recent content by libumi

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa nahitaji kupata mke mwalimu

    Are you serious?
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa nahitaji kupata mke mwalimu

    Naamini ni wepesi kuelewa unapotoa hoja juu jambo lolote ili litekelezeke na mengineyo mengi
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa nahitaji kupata mke mwalimu

    Rejea kichwa cha post hapo juu, Ila awe anaishi sehemu moja kati ya hizi kwa sasa Dodoma, Morogoro na Dar au katikati ya maeneo tajwa,kama ni muislamu basi akubali kuwa mristo baadae,tabia njema ndo kipaumbele japo black woman ni sifa ya ziada kwangu, si vibaya akawa na umri usiozidi 27 mpenda...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Pad za ps 2 za mtumba

    Kwa yeyote mwenye pad za ps 2 kuna mtu anaziitaji haraka. Anasema ziwe za mtumba . Ni pm kama unazo. Wa dar na moro.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ps2 used machine inaitajika haraka

    Jamani kwa yeyote system nzima ya play station 2 used ani pm,kuna mtu anaitaji haraka sana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    True hata mm c mchaga lakin niliipenda sera ya elimu bure hadi chuo kikuu kwani elimu ni key muhimu ya kupambana na umaskini
  7. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    plz naomba tusitukanane jamani, tujadili hoja kwa utulivu tu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Bado sjakuelewa ulichomaanisha mheshimiwa, naomba ufafanue kidogo
  9. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    mheshimiwa magufuli binafsi namkubali sana na hasa kwa sifa ya uchapakazi lakini swali je njia zilizotumika kumfikisha pale ni halali mbele za Mungu na kwa watanzania walio wengi?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Hicho ni moja ya vitendo vinavyoibua maswali kwangu na kunifanya niwe mtulivu tu ila sina amani kabisa
  11. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Sijui nini hatima Tanzania
  12. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Naona umeongozawa na jaziba hadi umeshindwa kutafakari kabla ya kuongea hadi umetoa tafsiri potofu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Kwani nini tumekosea? Au kosa letu ni kujadili haya yanayojiri Tanzania bila kusahu yale ya zanzibar ambayo hadi wale waliompa misaada mingi na mikopo( Marekani na uingrerza) raisi watanzania jk wanapiga kelele kwa hiki kinachoendelea
  14. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Wahenga walisema hakuna marefu yasiyo na ncha, ee Mungu itimize hii methali hii Tanzania, mm ni mtanzani mwenye utulivu ila sina Amani kabisa, kama Mungu angeniuliza nizaliwe na kuwepo kipindi hiki ningemuomba asiniweke kipindi hiki kwa haya ninayoshuhudia yakifanyika Tanzania
  15. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Mm nadhani kauli chafu sio kishawishi cha kuhalalisha hoja yako, tumia lugha ya kawaida tu ili tujadili hoja kwa amani, sisi sote ni watanzania
Back
Top Bottom