Fisadi namba moja kwa watanzania ni CCM na mfumo wake lowasa na wenginge hawana shida kabisa so long as hawapo ccm. There is nothing good that can come frm ccm for the time being nendeni likizo mkajipange and we will suport you
Hana shina mzee wa watu, CCM ndo inashida haiwezekani mtu anashutumiwa kuwa ni mwizi,fisadi,mkwepa kodi etc na chama tena chama dola kwa miaka zaidi ya kumi bila ya kuchukuliwa hatua stahiki za kisheria. Kwangu na dhani wezi tena wezi wakubwa ni hao ambao wanamamlaka lakini wameshindwa kuchukua...
Hahahahaaa utaisoma namba sasa hivi Tanzania Kwanza vyama baadae uhuru mpya wa Tz unatakiwa na ni sasa! kaka ulidhani CDM wamechagua kuwa wapinzani wa kudumuu, sooo sorry wanataka kushika dola na hilo ndiyo lengo kuu, nawametumia opportunity inavyotakikana tutajipanga tukiwa ndani ya system CCM...
Mungu Yupi sasa?
Hivi huyu Mzee anashida ganiii?
Walimwita mwizi wa Mali ya Umma,Fisadi na Majina mengine yote mabaya Lakini Mbona hafikishwi Mahakamani kwa Miaka takribani Kumi sasa.
Huyu Mzee anapambana na chama Dola ,Wana Polisi,Usalama,TAKUKURU, TRA hivi kwanini serikali isitumie hivi vyombo...
Hana lolote Mchumia tumbo huyo nadhani PACCO bado hujaielewa vizuri cdm its more than a person kwa sasa ni taasisi ambayo haizuiliki Mtaasisi unatishaa magamba wamechanganyikiwa ww bro huna jipya let ZZK go wala hutajali VIVA CDM VIVA THE CHAIRMAN Kazi tunaiona!!!!!!!!!!
Hahahaaaaaa Its just that simple!!! Follow the ESCROW Money..... No Stone will be left unturned and the truth must and Shall be reveled! Faiza keep your breath.
Ushauri wangu kwa CDM na UKAWA kwa ujumla katika Uhamasishaji wa UMMA kupitia Mikutano ya hadhara, Pamoja na kuzungumzia Ufisadi Mkubwa unaofanywa na Serikali ya CCM hususani SAGA la ESCROW,EPA,UJANGILI, MADAWA YA KULEVYA,MIKATABA MIBOVU TPDC etc lazima pia wajikite na kwa nguvu kubwa kabisa...
All the best Guys hii ni vita ya kutafuta UHURU wa kweli kwa watanzania kutoka kwa hawa wakoloni weusi CCM.Naiheshimu sana MARA katika historia ya ukombozi wa nchii hii na ninaamini historia itajirudia. Tupo nyuma yenu sootighty tunaomba utaratibu wa MICHANGO Pliiiz. WARIOBA get courage and keep...
Huu ni ukosaji wa adabu tu especially kwa wale watoto watukutu, wasio na maadili na waliolelewa vibaya. Haiwezekani Six kushindana na mwenyekiti wake na atambue Raisi ni taasisi not a person kuna mambo ambayo Raisi anayafahamu kutoka katika vyanzo vyake ambayo sita na wabunge hawayajui na kwa...
Haloo nitakua wa mwisho kumsamehe huyu dogo alifanya usaliti katika kipindi muhimu sana cha ukombozi wa nchi hii thanx God CDM is more than a person and we have to maintain this spirit and solidarity we should all remember victory should be our limit Tanzania inaweza kutoka hapa ilipo, Dogo kama...
Huu ni Ulevi tu wa madaraka Ninacho fahamu mimi CCM ni chama cha kisiasa ambacho kina lifespan ya kuongoza nchi hii na TANZANIA ni zaidi ya CCM , CCM itakufa Tanzania itabaki Milele lakini what i see is as if watatawala nchi hii milele which is wrong! Ukifuatilia kinachoendea ktk BMK utatambua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.