Recent content by libero

  1. libero

    JamiiForums Tanzania Ufanyike uchunguzi wa kina na wa sirisiri kwa viongozi wanaokufa ghafla

    Lucas watanzania tunasubiria on target mbili tu mioyo yetu ipone. Izo ulizoandika ni kelele kwetu.
  2. libero

    JamiiForums Tanzania Sugu: Nilikuwa team Mbowe, ila Lissu ni mwanangu

    Sasa si awaambie tu wenye ndoto za kuiua chadema matako yao au ana waonea aibu
  3. libero

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2009 tulipata Div 0 ila 2026 tumemshangaza hadi Tanzania one 2009 huko alipo

    Hakuna genius anayepata zero. Nyie mlifeli mmebahatika kupata watu waliowashika mkono mkafanikiwa kimaisha mshukuruni mungu kwa ilo. Huyo mwenzenu hakua na ndugu wala rafiki wa kumuuzia duka hapo kariakoo. Kama unaona kufeli ni sifa kama unavojinadi hapa basi haina haja ya kuwapeleka shule...
  4. libero

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awateua Dkt. Mpango na Kassim Majaliwa kuwa washauri wake

    Angekua anapenda ushauri angechukua ushauri wa polepole,gwajima au hata lissu kabla ya uchafuzi mkuu walau angeliepusha taifa na fedheha tuliyoipata
  5. libero

    JamiiForums Tanzania Alichokiandika Peter Madeleka kuhusu Tume ya Jaji Chande

    Iundwe tume ya kimataifa inayoaminika na wananchi na yenye nia ya dhati uone jinsi ushahidi utakavomiminika lakini kwa tume hii hata mpumbavu wa mwisho hawezi peleka ushahidi wake pale.
  6. libero

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani apigiwa wimbo wa kudai haki kwenye mahafali, akerwa

    Alivobinua mdomo sasa. Sema dhulmati yeyote yule neno haki huwa linamkera kweli kweli.
  7. libero

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mkutano wa Samia na Wazee Desemba 2 anaenda kutoa bonge la Boko litakalotia Vijana ndimu watoke Disemba 9

    We jamaa sio wa kupuuziwa ila wazee wa dasalama bana wanafokewa na bado wanapiga makofi
  8. libero

    JamiiForums Tanzania Gen Z wana-trend. Wamekubaliana uelekeo ni Ikulu na Bungeni. Msisahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9

    Naambiwa mama amduli sa ivi kila mda anaenda kuchungulia chopa ka lina wese. Hakika Gen Z mmejua kunifurahisha mpewe maua yenu kwa kweli
  9. libero

    JamiiForums Tanzania Chukueni orodha ya waandamanaji wote ili wasiwe na sifa ya kuajiriwa na kuwa Watumishi wa umma

    Kitu pekee ambacho hujagundua mpaka ivi sasa ni kwamba vitisho vishapoteza nafasi kwenye mioyo ya watanzania kiufupi wapo tayari kwa lolote like. Nasikitika fuvu lako limebeba mavi badala ya ubongo
  10. libero

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

    Chonde chonde vijana wetu wa Gen Z naombeni msimsahau yule aliekua akitangaza matokeo ya kupika na kuwafanya watanzania kila mda wawe wanasonya
  11. libero

    JamiiForums Tanzania Uapisho wa Samia: Kwanini viongozi wa kidini wa kikristo sio waoga wala wanafiki kama wa kiislamu?

    Naona kanisa limegoma kabisa kuzitambua izo PhD zao. Wakishaanzaga kuitwa sijui ayo madokta hua wanajiona wana akili sana kushinda watanzania wote,safi sana.
  12. libero

    JamiiForums Tanzania Kesi uhaini wa Tundu Lissu: Mashahidi wa siri/kificho waanza kujishitukia wenyewe na kujitetea hata kabla. Mmoja ni huyu hapa👇🏻

    Kwa jinsi Yericko anavyopenda bia na nyama choma za bure naweza kumuamini Chahali.
  13. libero

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, kikombe unachokitengeneza utakinywea

    Lema ni nabii na ana upako wa kuona yajayo. God bless Lema tuendelee kupata tabiri mbalimbali
  14. libero

    JamiiForums Tanzania Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Wameshindwa majukumu yao yakulinda raia na mali zao wanalinda chama na serikali yake haja ya kuogopa wananchi wenye hasira kali mmewasaidia majukumu yao
  15. libero

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe avuruga Uzinduzi wa Dira 2050, Wananchi wanamjadili yeye binafsi na kuipuuza Dira yenyewe, Hii ni ishara ya Nini?

    Hakuna mtu anayemjadili mbowe Kwa positive hivi sasa heshima yake imeporomoka mno
Back
Top Bottom