Recent content by Libaba lao

  1. L

    JamiiForums Tanzania Sababu 31 kwanini Magufuli hawezi kuwa rais wa Tanzania

    Kwanza hafai anafaa kutumwa tu lkn cyo urais
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme ukiendelea, Simbachawene kutoteuliwa Cabinet ya Magufuli!

    Anajua wafuasi Wa ccm hawanazo ndyo wanaoshangilia kila kitu hats vya hovyo hawajielewi kabisa
  3. L

    JamiiForums Tanzania VIWANDA, VIWANDA, wakati hakuna umeme, utatumia kuni au mkaa kuviendesha..?

    Shida kubwa watanzania wengini mbumbumbuu hatujui tulipokwama,nchi ambayo ukimsikiliza mosomi unajiuliza maswali kunatatizo ukiona watu wasiojiamini wanaonavbils ccm hakuna tz ujue kazi IPO hebu jiulize no watanzania au wabunge Wa ccm waliosikitika Kwa miswada muhimu kama ile ya goes kusainiwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Slaa na Zitto jukwaa moja?

    Atakae mpokea mwenzake ni nani?kati yao
  5. L

    JamiiForums Tanzania Unayesumbuliwa na tatizo la bili kubwa ya umeme

    Zipo wapi?kwangu Umeme nikero
  6. L

    JamiiForums Tanzania CCM ikishindwa uchaguzi nani alaumiwe?

    Mwenyekiti ametuletea mgombea a siyeeleweka Kwa maamuzi yake am aye amesahau hata ilani ya chama chake
  7. L

    JamiiForums Tanzania Jiji limezizima

    Mbona mnakuwa kama mnakimbizwa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa adaiwa kukodi makomandoo wa Israel, IGP Magu ashtushwa, CHADEMA wang'aka

    Mambo engine ni kichefu chefu kuyasoma no mbinu za hovyo kabisa ccm wamekwama wanatumia mbinu za hovyo ili watu waogope
  9. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Pollen makamanda wote Wa cdm.umetangulia mtoi nac tu nyuma yako,
  10. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mazishi ya Mohamedi Mtoi, Lushoto - Tanga

    Pumnzika mpambanaji mtoi
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Lowassa anajua atashindwa, ameanza kuandaa watu kisaikolojia

    Sisi ni mabadiliko kwanza
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

    Huyu mwigulu huwa linapenda sana misifa utadhani halijasoma sifa nyingi mno
  13. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wakijibu, Lowassa atageuka "lulu" kwa watanzania

    Endeleeni kudanganywa name hi yo vikofia name vitisheti wakati watoto wako wanasoma wanakaa chini hkuna madawati tumewachoka ninyi ccm hmna jipya miaka zaidi ya 50 bado mnapiga domo ham-oni Aibu?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba ina mauzauza

    Au ulizidisha msuba halafu hukupata Milo sawasawa
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

    Kumbe mnataka watu wote wawashobokee nyinyi mcyojitambua mnaodhani Kuwa hi nchi nim miliki ya watu maalum hovyo kabisa
Back
Top Bottom