Asanteni nyote kwa mawazo yenu na ushauri…
Mabadiliko kwnye nafsi yangu ninayaona sana baada yakuandika hivi…na kupati maoni tofauti…
saivi nalala, moyo wangu haupapuki tena pale nikiwaoni awo watu kwny mitandao..nilifata ushauri wenu wakufuta account zangu zote nimefanya ivyo
ila nimepatwa...
mwambie aandike hivi km mm humu jamii forum…
Apate comments zote mbaya na nzuri….
Mm kwangu imenifanyia tulizo kwa kiasi kizuri… nimepata uwafuane na watu wamenifuata Dm na kunishauri wngn wananipa ushuhuda……
itamsaidia nafikili….na pia kama ameamua kufanya hivi aiandae akili yake kua sio...
Ratiba yake kwa sasa yupo tz.. ila uwa anaenda kwao ifikapo likizo….
Asante kwa maneno yako mazuri,na ukarimu ubarikiwe sana..
Hhhm apo kwny haiba ya kuolewa sdhn km ni kweli sjion km kuitaji kuolewa..lbd in future ila sjion kbs km kitu ambacho nina uwitaji nacho…kitu nilichogundua kuhusu mm...
Umtake radhi sister angu kumuita mjinga…..
Umesema kweli vingn…
Ni kweli sijioni kama mtu ninae faa …yaan saivi wewe ukitaka kunitukana nitukane, ukitaka kunifanya nijihisi kama zezeta kwangu ni sawa tu, siamini katika mtu kunitendea jema au heshima kwa sasa sioni kama nina hadhi iyo….yaan ni...
Sikudanganyi ndugu yangu..mm sjioni kabsa nikiwa mama ntilie na iyo kazi siiwezi heheh au saloon..usidhani si tambui ilo natambua ibd ata niende nifagie bara bara nipate miambili…naitaji kujianda kiakili sasa kua saivi naweza kuanza life ambalo nilikua silifikilii kabsa…kwanza kitendo cha mm...
Asante sana kwa kunisaidia ukweli uwa silalai sana…. Zazngn nakesha usiku mzima.. nawaza tuu nakuja kupata ka uchingz kadogo mnoo saa11 umo na ynyw sio kwamba nimelala yenyw….nikama nimejipumzsha tuu ila nakua sijalala….sio tu kulala ata kula kwangu ni kama najilzmsha nawza kuvuka ata siku 3...
Mi sioni kama kuna uhafueni kwakweli….tatz la akili ni kubwa sana…unakua una function ila linakuangamiza kama ukimwi au zaidi ukimwi..huwz kunielewa kwa sababu hujawai kupata iyo severe depression ni deadly sana… na kpnd icho ndo moyo wangu umeanza kuuma nilkue nimepata chance za kazi, ajira...
Kazi nimefanya zakujitolea na zakuwa busy sana…..ata mda wakupumzka nakosa…ila ata ndani siku nimebadlka nimekua kama zezeta imeniathiri mpk ki saikologia.. kuna kpnd nilkua naaibu ya kuangalia watu usoni..ni kitu tuu kinanitokea automatically najhs kama mtu hafai kuniangalia……na nikienda kulala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.