Recent content by Liability

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hatari ya machinga

    Kwenye swala la MACHINGA serikali inahitaji umakini mkubwa kuwatoa Hawa watu kwakuwa wamekuwa wakubwa Kama mbuyu. Kama mnakumbuka miaka ya 2000-2015 walikuwa wanafurushwa Sana na migambo. Kuanzia mwaka 2016 mpaka sasa wamejitawala kila mahali. Ukifika hapa Arusha Ni kero kubwa Sana. Nafikiri...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Up dates; waziri wa afya aagiza gwajima kukamatwa kwa kosa LA kupotosha umma juu ya chanjo ya corona!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Tathimini katika eneo unaloishi wangapi wapo tayar na chanjo
  4. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Namba 2 serikali imeanza kuifanyia kazi kupitia naibu waziri
  5. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

    Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo: 1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo 2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo 3. Itangaze chanjo kuwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Sabaya: Acha! Huko unakokwenda siko

    Hays ungekuwa ni we we lazma kunasrhemu Magufuli au zMpango utamtaja kulingana na na maswali
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Sabaya: Acha! Huko unakokwenda siko

    Nafkri hujasoma vizr maelezo ya Sabsaya.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa chanjo ya Corona

    Baada ya mheshimiwa Rais Samia kutoa mwelekeo wa taifa kuhusu mapambano ya Corona zimeibuka hoja nyingi sana hasa kuhusu hizi chanjo. Jana nilipata nafasi ya kumtembelea rafiki yangu hapa Morogoro. Nilichokisikia sikuamini. Watumishi wengi wa kada moja iliyopewa kipaumbele cha kupata hawataki...
  9. L

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

    Uko saw a mkuu lakn kuna watz wanapenda kutisha ndio maana hata wengi tunaogopa viongoz wetu
  10. L

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

    Nimeliona jina lake sasa hivi . kuna memba katupia humu na Mimi nimecofirm pia
  11. L

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

    Nafunga mjadala huu ! Please moderator remove this
  12. L

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

    Hata huyu kijana ni mwoga tuu kama ninyi mnao onesha uoga . ndio maana baada ya Kuala nyaraka hizi niliamua kupost. Swala LA kifo anajua mungu mwenyew. Ukiua MTU hata were hutoishi milele
  13. L

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU tunaomba Msaada: Kijana huyu alipata ajira Serikalini lakini akaporwa kituo cha kazi na kupewa mwingine

    Nashauri katibu mkuu sekretarieti awambie watu namna wanavyo ajiri kwa kuwa hata ningekuwa Mimi nisinge kubar au kuamini situation hiii
Back
Top Bottom