CHADEMA bado hawajaelewa tumehuru ni kitu gani na inafanyaje kazi. Unapofanya kazi ya umma, hasa inapobidi kuamua hiki su kile kati ya washindani, huwezi kujidikua HURU kama kuna toshio la kushitakiwa. Ukikuta kuna Jopo la CHADEMA la Mawakili 80 wako tayari kumtetea Tundu Lissu bure kana...
Uuuh! Yaani hawsna? Sisi toyari tuna Wozara ya Kazi, Jinsia, Watoto, na Makundi Maalum mathalani Walokole au CHADEMA. Hii ninihii yako Mjumbe unasemanini khasa?
Yes, it is possible. CHADEMA hired a crowd from Moshi and Dar akiwamo mbowe ba neyaxwa ubungo to go to Tanga maziko ya Marehemu Bakari. Tanga ni Nchi ya Waislamu, maadili, walishangaa sana kuona makamanda wakimzomea Waziri akitoa duwa. Akaha
Imam akasimana kuwapa nawaidha, wakazomea na kuimba...
What is the problem? Sisi tulisombwa mwaka 1968 hadi Mwadui kumpokea Makamu wa Kwanza wa Rais Abedi Amani Karume: kuna ubaya gani, si ni Rais wetu? Mwaka 1991 alikuja Baba Mtakatifu Yohani Paulo II akatoa Misa pale Kawekamo. Waamini wengi tulisombwa kutoka Parokia zote Jimbo Kuu la Mwanza. Kuna...
Sikumbuki, ila kulikuwa na namna yake. Usimsahau kijana James Mbatiya, wakati huo Year 2 BSc Engineering BAVICHA, alimtukana Mwinyi matusi ya nguoni kamuunganisha na familia yake (Mzee wetu Mwinyi alikuwa na Wake wawili), walimchora vibaya ukutani chooni na Nkrumah Hall. Wala hawakujificha...
Umesahau kitu kimoja - watu wote najisi walkiwemo wakoma na wachafu walitolewa nje ya malango wakauawa kwanza - imeandikwa kwenye Kumbukumbu la Torati. Hata kwetu Afrika, hususan kwetu Uyowa, habari ya kufunga na kuomba ilikuwa inatokea pia, mara nyingi wakati wa kuomba mvua au kuepuka majanga...
Kura yangu ilikuwa kwa Kuuli, kura yangu imehesabiwa, hawezi kusema kwamba Uchaguzi haukuwa free and fair. Vivyo hivyo 2020 nilimpigia Magufuli, hawezi kusema aliiba kura, kura yangu ni hiyo.
Sioni ubaya wowote. Kama wewe ni Burundi na njia fupi ni kupitia Kahama ba Holili, why not? Lakini sidhani kama it will be cheap hata kama ni shorter kwa sababu haikujengwa kwa transit traffic. Isitoshe, itabidi alipe transit fee mara 2 Kahama ba Holili. Kama cargo inaenda na kuishia Kenya...
Uliza vizuri swali lako: ni Mahakama kudharay Bunge, usisahau kuwa Bunge linachaguliwa Mahakama haichaguliwi. Ndiyo maana kukawa na House of Lords na House of Commons - Common people walipochoshwa kunyanyaswa na mabwanyenye. Unless jambo ni la wazi wazi, Bunge liko juu zaidi.
This must be bad news to our fiends in CHADEMA, makamansapipozz. I mean, sasa CCM wanatekeleza Ilani yao shindig, wanemuweka CPA kuwa Mwenezi na Miss World kwa kina Mama. Sasa imebaki ile serkali ya Majimbo yaani ukabila kama zile County za Kenya, sijui wataiuzaje?
Wacha utoto, humjui Antoinette. Samia ni Rais wetu, tumemchagua. Nji yetu ni kubwa, Kyaka hadi mMikinani kilometa 3000, Holili hadi Tunduma kilometa 3000. Ni sawa ba Nji 6 za Ukaya UK hadi Poland. Anahitaji gari 4 office yake tu, zingine 4 kwa Heads of Depts, gari 5 za Ulinzi. Kaenda Sumbawanga...
Hili ni tatizo lake binafsi, limejengeka kwenye Diana potofu kuwa kugombanagombana au kununiana ndiyo matakwa ya checks and balances. Hata Bungeni wapinzani mnaj8sikia vibaya Rais kutokuwa na ugomvi na Wabunge, kwa nini wagombane kamaxeotw ni matunda ya Ilani hiyohiyo moja. Aidha, nasahau pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.