Unajua Usipende kukaza ubongo kwenye Kila kitu..... Ndio maana mnatapeliwa sababu Kila kitu unawaza utapeli... Wewe kwenye ishu yangu hii unatapeliwa wapi? Gari yangu mm naomba tu kupata mawazo na connection ambazo huusiki au hata kama utanipa nikifika huko Hamna kupeana pesa Wala nn sana sana...
Unaacha kuwaza core point ya Thread unakimbilia kwenyeabishano yasiyo na tija.... Kuweka picha ya Japan haimaanishi gar Iko Japan... Huna connection kausha sio lazma Kila kitu uchangiee
Kuna gari nnayo hapa sasa natafuta tenda za nyama au kubeba mboga mboga au vitu ambavyo vinahitaji friji na tenda iwe ya Kila siku au mwezi au hata alie na Connection ya kazi hizo tunaweza kuwa wote kwenye gari hyo
Mwenye gari ndogo ambaye anampango wa kuifanya ya biashara yaani taxi, Uber au Bolt naomba hiyo kazi kwani nina uzoefu nayo!
Pia hata Kama yupo mtu anaehitaji kuendeshwa au kuwa dereva wa familia nipo tayari na napatikana muda wote!
Namba yangu ni 0682527009
Ndio kidgo nlichojaaliwa mkuu na ndo upeo wangu umishia hapa!! Its very funny to you japo muda mwingne kujua sana nako ni ujinga thus y unajiona unafaham zaidi had unavuka misingi ya mtu anaejitambua na kuheshimu mawazo ya wenzake.... shame upon you Genius with nodes on his head
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.