Recent content by Leroy dete

  1. L

    Yale Matawi ya CCM Ughaibuni yamefia wapi?!

    kijikampuni cha ufundi chuma.... hata miezi 12 hakina ushaanza kelele.Unatujua sisi?ungekaa kimya maana utahitaji kututafuta hapa hapa Uk kuomba kazi.Ndio tatizo la watu wa mikoa ileeeeeeeeeeeee ya kishamba shamba wakipata...............hata UK yeneyewe uko kwa shemeji yako....na kijikampuni...
  2. L

    Vyeti vya kufungulia wakala wa bima

    Mkuu,asante kwa maelezo mazuri.Kamisheni (average) ambayo hutolewa na insurer huwa ni wastani wa tsh ngapi/percent ngapi? ..mfano UAP,sjui jubilee,BUMACCO.Asante
  3. L

    Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

    Unachosema ni dhahiri mkuu.Kuna baadhi ya watu katika idara nyeti za umma wanapenda kushare baadhi ya vitu vya maofisini as a way to release their grievancies lakini ni busara ya kawaida kuhakikisha haujadili kitu ambacho ni siri ya ofisi/wewe binafsi.Kukaa kimya kwa masuala nyeti ya nchi hasa...
  4. L

    Aliyekuwa Mkurugenzi benki ya wanawake matatani

    Jamani,benki ya wanawake iko chini ya wizara hii.Kumbukeni kwamba wizara inaitwa wizara ya afya na jinsia(wanawake na wanaume).Hata uteuzi wa wajumbe wa bodi ya benki hii ulitoka wizara ya afya na jinsia.Period
Back
Top Bottom