Recent content by lerienyaiya

  1. L

    SoC04 Sekta ya Ujenzi na Ukuzi wa Uchumi wa Tanzania katika maendeleo endelevu

    Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu 1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote Tanzania ikiwemo. Kati ya sekta inayotumia pesa nyingi katika mataifa...
  2. L

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Kweli wapo Hawa wanaharamu na dawa yao ni kutokutoa kabisa waende wanapoweza aisee
  3. L

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Ila bro kwa hapa jamaa yako ni mkandarasi na anafanya kazi serikalini umetupiga kamba mkandarasi kwa kingereza ni contractor sasa inakuwaje aajiriwe tena,[emoji848][emoji848]
  4. L

    Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

    Ila bro kwa hapa jamaa yako ni mkandarasi na anafanya kazi serikalini umetupiga kamba mkandarasi kwa kingereza ni contractor sasa inakuwaje aajiriwe tena,[emoji848][emoji848]
  5. L

    Binti niliyebahatika kuzaa na kuishi nae nimejikuta simpendi tena

    Mwanaume sifa ni kutunza familia sio kusimamisha tu pambana kiume Lea family yako kabla hujarudi hapa kujuta, yaani kipato na madeni ndo yakufanye utelekeze family na uko na 30+ ?????
  6. L

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Send me your CV via pizzlet@yahoo.com
  7. L

    Mwanaume kugombania rimoti ya TV ni ushamba

    Huyo sio mwanaume fuatilia vizuri hata nyumbani hatoi matumizi
  8. L

    Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Ushafikiria unapambana na familia kuitunza afu mtu mmegombana anakuambia wewe mwanaume gani kwanza watoto sio wako na maneno kibao mimi naungana na wote wanaosema mwanamke atoe sababu
  9. L

    Tumeamua Tumekubaliana Hatutaki ndoa,Msitushauri

    Ukiweza achana nayo kabisa haina maana yoyote tafuta pesa nenda IVF toa mbegu totoa watoto itakupunguzia stress zisizo na ulazima wowote hawa wako kusubiri mgawane mali hawana faraja yoyote
Back
Top Bottom