Recent content by leop

  1. leop

    JamiiForums Tanzania Nasikia kelele masikioni na kichwani

    Jmb mi naomba bisaidiwe mm nakuwa nasikia kama mishipa ya damu inasukuma damu ivi, yani nasikia ti ti ti sikio moja sioati hata usingiz yan
  2. leop

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Jamn mwenye ya njombe naomba msaada
  3. leop

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Jamn kwa tuliopata tupeane mbinu za kwenye usaili
  4. leop

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Kuna nn tena, wamefanyaje
  5. leop

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Mi pia nimekwazika. Kwann tusizame wengi huko dm za itv tukalalamika jmn
  6. leop

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Nilicheka juzi, mamlambo alivyompandisha presha sma akajua anataka amtabilie kwamba hana mimba. Nae ayanda jana angepunguza haraka angejua kwamba sma si mjamzito labda
  7. leop

    JamiiForums Tanzania Hichi nini kwenye mwili wangu wataalamu wa X Ray, CT Scan na MRI

    Kwan docta hakukuambia hicho ni nn jamn
  8. leop

    JamiiForums Tanzania Hivi Covid-19 bado ipo Tanzania?

    Kwan Azuma ndo doz ya kovid
  9. leop

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Wanarudia tu
  10. leop

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Jmn kwann wanatufanyia ivi itv
  11. leop

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa kwa maisha ya watu, Rais Samia hajaondoa tatizo la maji Dar na Pwani

    Hii korogwe kuna sehemu maji mara ya mwisho tumeona mwezi wa nane mwanzoni mpka leo
  12. leop

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

    Nawa tu ivi usiku ntalala kweli au ntakuwa nageuka geuka kitandan
  13. leop

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

    Ahmed linaenda jamn. Imagine saa kumi liko morogoro akati lenzake mbeya city linaingia moro kwenye kumi na moja ivi. Naumia sana koz mbeya to tanga ndo trip zangu, na ahmed ndo gari langu
Back
Top Bottom