Bila unafiki, ni muhimu kuwatia moyo na kutambua thamani ya CHADEMA katika ujenzi wa demokrasia yetu nchini.Kazi mnayofanya ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi juu ya siasa nchini kwetu,ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu.
Tengenezeni watu wengi wenye misuli ya kisiasa ili hata ikitokea...
Kama chama tegemeo kwa wengi walio nje ya CCM, tunategemea CHADEMA mtaendelea kuwa wamoja katika vikao vyenu vya uchaguzi wa ndani.
Hatupendi kusikia malumbano na maneno yasiyo na tija kwa ustawi wa demokrasia yetu.
Kumbukeni uimara wenu katika siasa za nchi hii,ni muhimu sana kwa ajili ya...
Uwanja wa Sokoine ulijengwa enzi za Chama kimoja, na michango ilipita kwa wana Mbeya wa wilaya zote. Na ukumbuke kuwa wakati huo, Mbeya ilikuwa haijagawanywa kama ilivyo sasa. CCM ndiyo ilisimamia serikali katika utekelezaji wa ule mradi, na chama kilishika hatamu kwelikweli.
Kwahiyo, hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.