Kingine hapoo ili ujue tuache lawama zisizo na tija ambaye alitakiwa kulaumu hapo ni dereva wa mbele kama ni gafla aliwezaje yeye kusimama?? Na ambaye hajasimamishwa ashindwe kusimm
Hapa tusikimbilie kulaumu mapolisi tu bana yeye hyoo bodaboda alikuwa hauonii?na ni wangapi wanaingia nyuma ya magari nao ni polisi wanahusika?tusikimbilie kutoa lawama jamani na mazuri yao tuyaseme
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.