Recent content by leonaldo

  1. leonaldo

    Kama unaamini unapendwa unajidanganya

    😂😂😂wenzetu wanalalamikia vibamia na kuwa tunawatelekeza njiani hatuwafikishi kirimanjaro kileleni.
  2. leonaldo

    APHFTA: Tutasitisha huduma za NHIF kuanzia saa sita usiku, wagonjwa mahututi tutawaongezea saa 48

    Sio kweli ni dhana tu,ni kama kipindi kile tulipokuwa tunaamini Kila kinachotengenezwa tz ni feki Kwa Sasa huduma Bora za kibingwa zinapatikana hospitali za serikali.
  3. leonaldo

    Mara ya kwanza kutongozwa na Mke wa mtu na baada ya kushiriki tendo ananiambia amenasa mimba

    Hufai kabisa mchana Wala usiku wewe ni mnafiki,muongo na raghai hata huko unakofanya kazi basi tu Kama ni kweli hufai kuwa mtumishi wetu! nathibitisha kauli yangu, Wewe si ulijua ni mke wa mtu? Halafu akakuambia yupo kwenye hatari zake? Halafu ukamwambia utakojolea nje? Na Kisha ukarudia Tena...
  4. leonaldo

    Yapi maoni yako juu ya wimbi la dawa za kuongeza maumbile kwa wanaume? Wanaotumia zinawasaidia?

    Kwa kifupi walikuwa wanaoga mtoni bwana,kwani wewe hujaoga mtoni? Kwani Kuna partition mtoni? Huko mambo hadharani...
  5. leonaldo

    Katika mtaa wa huzuni, penzi langu na house girl

    Imefika kwenye kunyadaruana nije?
  6. leonaldo

    Baada ya hoteli ya Ngurdoto kugeuzwa hosteli kutokana na hali mbaya ya uchumi awamu ya tano, sasa imerudi kwa nguvu kubwa

    Nimesoma kote sijaona mahali kuwa Magufuli ndio alikuwa sababu ya hiyo hotel kudidimia,si juzi tu mlituambia COVID ndio ilikuwa sababu Leo Tena mmebadilisha gia, Ok Asante kwa umbea.
  7. leonaldo

    Wanaume punguzeni chips mayai

    Wana makasiliko ya power failure,ndio maana wanakuja na majibu rahisi " utafiti mwitu" Utafiti huu hapa Alipita na watano moja ilifeli mwanzo wa safari,mbili zilianza mwendo zikiwa legelege zikazimikia njiani hazikumaliza mwendo,moja ilianza kwa ushupavu ndani ya dk moja ikafika mwisho wa...
  8. leonaldo

    Kuwakamata Mwabukusi au Mdude hakutasimamisha maandamano 9/11

    Hayo unasema wewe Nani kakwambia watafanya? Haramu maana yake Nini? Kilicho halalishwa na katiba wewe unapata wapi nguvu ya kukiita haramu!?
  9. leonaldo

    Mume na Mke Msipishane Sana Umri

    Brother hebu acha basi nyumbani nimeacha ndara, haya Nachepuka naenda kutafuta ndara! Ujinga gani huo? Hata mkeo akipata habari anaanza kukuuliza umeikosa Nini mme wangu mbona Kila kitu nakupa? Lakini akikuona na kisu atabaki kusema haya bwana, Maana anajua ulichoenda kukitafuta Hana! 🤣🤣🤣🤣
  10. leonaldo

    Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

    Ukiwa na pressure usikae uzaramoni maana kuchaba ni sifa, kama mkeo hajui kuchamba achana nae,🙏 usije kufa na masononeko Bure.
  11. leonaldo

    Kwanini Samia asiwe Mama wa Taifa? Nchi imetulia ukilinganisha na miaka mitano iliyopita

    Unajua watu tunatofautiana Sana aidha maoni ya mtu binafsi huathiliwa pia na ubinafsi na nafasi aliyo nayo wakati huo kuufikia mkate wa uzima. Labda nikuulize we sa hivi upo kitengo gani Cha upigaji au kamba yako Ina urefu gani hadi uponyokwe na Dua kubwa namna hiyo?
Back
Top Bottom