Recent content by leo_hii

  1. leo_hii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dreamliner imesababisha ushindani mkali baina ya mashirika ndani ya Tanzania

    Huu ushindani utasaidis bei zishuke na wanufaikaji watakuwa ni ss
  2. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kufika America hawa Blacks American wanatuchukuliaje Waafrica?

    Labda wana chuki na ss waafrika kwasababu tuliwauza ndugu zetu
  3. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Museveni awasili nchini Tanzania kwa Ziara, azungumza na rais Magufuli

    Hongera Serikali ya awamu ya tano
  4. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Museveni awasili nchini Tanzania kwa Ziara, azungumza na rais Magufuli

    Nabii hakubaliki nyumbani
  5. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa maagizo mazito, yazuia mitambo ya kuchimbia madini

    Saivi mawaziri hawakai kwenye viti kusoma magazeti ni Kazi juu ya Kazi
  6. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Ephata Nanyaro diwani wa Levolosi jiji la Arusha: madiwani kuondoka ni ubinafsi na hofu ya 2020

    Huna hata bustani ya mchicha unajidai kilimo kipo hoi Ongea kwa takwimu
  7. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Chadema mtajuta kuwafahamu akina Sumaye

    Wanang'ata na kupuliza
  8. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Ephata Nanyaro diwani wa Levolosi jiji la Arusha: madiwani kuondoka ni ubinafsi na hofu ya 2020

    Wanasiasa ni wasaka tumbo hawapo kwa maslahi ya watu bali kujiangalia matumbo yao Cha muhimu wananchi ni kuchapa kazi kila mmoja kwa nafasi yake
  9. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli chagua lugha moja tu unapohutubia, unatuchanganya!

    Haya sasa Walimu wa lugha wa kujitegemea tunawaona umahiri wenu
  10. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Rais Magufuli ni rais muoga kuwahi kutokea nchini

    Huyu kibaraka wa CCM B anaongea kufurahisha kijiwe Tanzania ni nchi yenye Rais Imara na shupavu ukijiona unabisha basi una dalili za uchawi
  11. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Dhana ya 'CCM-Mpya' ni sawa na kaburi linalopakwa rangi nyeupe juu

    Wewe ni Muathirika wa mfumo
  12. leo_hii

    JamiiForums Tanzania Wana CCM tumshauri Kigwangala afanye kazi ya uwaziri. Anachokifanya sasa ni utalii mtupu

    Kupiga picha ndo kigezo cha kusema hafanyi kazi za uwaziri? Kazi za uwaziri ni zipi?
Back
Top Bottom