Habari wana JF
Nina mdogo wangu anakumbwa na majipu kila wakati tumempeleka hospitali akapewa dawa ambazo kwa maezo ya muuguzi ni kwaajili ya kukausha na kuzuia kutojirudia tena lakini bado yanamtokea. Je chanzo ni nini, Tiba ya kudhibiti yasitokee tena ni ipi?
Salam wapendwa katika
Naomba kujuzwa kutoka kwenu
Nimemaliza kidato cha 4 mwaka Jana matokeo yakawa kama ifatavyo
Phys -C
Chemistry-C
Biology-C
Geography-C
Civics-D
Literature-D
B/math-F
Division 3 point 25
Swali langu
Sijafanya masomo matatu ambayo ni history,kiswahili, english nikiwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.