Recent content by lengusero

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake/Mabinti tuliowahi kutoka kimapenzi na wanaume wa kimasai tukutana hapa

    kiukweli nimeshasikia huu ushuhuda kuwa wamasai ni watamu kwenye mapenzi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa watumishi wa umma juu ya kikotoo kipya, ni upole wao au kutojielewa?

    Naamini magufuli atayaweka mambo mazuri kwa watumishi,naikumbuka kauli yake siku ya mei mosi kuwa atawaongezea watumishi mishahara kwekikweli,hili bado halijachelewa, watumishi wawe na subira,watumishi ni serikali,hivyo ni lazima muamini kuwa mmehaidiwa, kuhusu swala la kikokotoo,naamini...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kiume

  4. L

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Ebu Ni Pm Tuongee Vizuri Na Ushauri Mzuri
  5. L

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Karatu Nije Monduli,idara Ya Msingi 0765481551
  6. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli kasababisha nikosane na demu wangu

    Mwambie Lowasa Ndio Jembe
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ina maana mabinti wa kitanzania mmefikia hatua hii au ni uhaba wa wanaume?

    Ni Kweli Jamaa Akili Yake Haipo Vizuri Bcoz Of Ccm, Hana Pesa Ajira Hakuna Anataka Kuolewa Na Binti
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mme wa mtu, ila nimempa staff wangu mimba, nifanyaje?

    Haina Shida Ukiweka Mimba Staff Mwenzio,maana Mtoto Atakuwa Na Uhakika Wa Kula Kuvaa Na Elimu Maana Mama Yake Anakazi, Ebu Mtafute Mwingine Mwenye Pesa Mweke Mimba, Mie Nina Watoto 17 Kila Mmoja Na Mama Yake, Mama Zao Wote Wanakazi,majukumu Wananizaidia
  9. L

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa; Mtanzania aliyeshambuliwa, kudhalilishwa na kukosa haki ndani ya nchi

    Lowasa Uko Juu Wewe Ndio Jembe, Ukiona Mtu Anakupaka Matope Ujue Wewe Uko Juu Anajitahidi Kukushusha Muwe Sawa, Kura Yangu Na Ndugu Yangu Wote Ni Yako
Back
Top Bottom