Recent content by lenganasa

  1. L

    Kipimajoto ITV miaka 18 bila Baba wa Taifa; Je, misingi ya utaifa aliyosimamia inaenziwa na kuendelezwa

    Hoja nzito, kabakia kutoa majibu rahisi tena kukejeli waelewa. Kwa kweli ni hatari kuufanya adui UJINGA kuwa rafiki.
  2. L

    Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

    Sio Husein tu. Kwa maoni tangu Prof. Mhongo anasatahili kuwa wa kwanza kuhojiwa. Jeuri yote ya kukiukwa sheria katika suala ta tanzanite (kwa sasa) ilitoka kwake. Tulimsihi sana kuwa angaalie suala LA utoaji wa Leseni na umiliki wa kitalu C, lifanyike wazi kwa kuzingatia sheria. Akasema hakuwa...
  3. L

    Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

    Wengi wetu mnatoa maoni kwa kujificha utambulisho wenu kwa kukosa uhakika. Sasa tuulizeni sisi ambao tunatokea huko eneo lenye tanzanite. Nasema serikali IPO sahihi, sana. Nchi imeibiwa mno. Kwa Mara nyingine ninawapa big up kwa hatua wanazochukua. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    Tetesi: Ikiwa mahabusu wanaua Kibiti, magereza inajitoa vipi?

    Mimi ninaamini kuwa rais wetu anapewa taarifa sahihi na vyombo vyake. Sasa amesema kuwa masheik walioko mahabusu wanahusika (gazeti Mwananchi 3 July 2017. Sasa nauliza kwanini hiyo magereza isishughulikiwe kama haina uthibiti wa kutosha?
  5. L

    Tetesi: Ikiwa mahabusu wanaua Kibiti, magereza inajitoa vipi?

    Watanzania wote kwa umoja wetu tumesikitishwa na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia huko Kibiti. Jambo la kushangaza ni vipi magereza inahusu mahabu kupanga na kutekeleza uovu huo na yenyewe ikabaki salama. Ninaimba serikali uchukue hatua za haraka kama haya ni ya kweli.
  6. L

    Mwanasheria Mkuu wa TBS kortini kwa mashtaka ya kuishi na kufanya kazi nchini bila kibali

    Je, wafanyakazi wengine wote, TBS ni RAIA wa Tz au haijulikani.
  7. L

    Wafanyakazi 134 wakutwa na vyeti feki hospitali ya Muhimbili, majina yao haya

    Mimi binafsi sintaona ajabu serikali ikifunguliwa Kesi nyingi kutoka kwa jamaa wa wahanga wa huduma zilizotolewa MNH huku serikali ikifahamu fika kuwa wataalam hao hawana sifa.
  8. L

    Polisi waua watatu "wanaodhaniwa' kuua askari Kibiti. Hii kuua watu kwa kudhani mpaka lini?

    Maelezo ya upande mmoja daima hayawezi kuondoa mashaka. Mfano tu, pikipiki zilikuwa tatu ila moja tu ndiyo imekamatwa, je, wengine walipotelea wapi, je? ni kweli walikuwa na baibui, je? nani aliwaona watuhumiwa wakikimbia tofauti na polisi, je? mtoa taarifa aliongea na mashuhuda na walisema...
  9. L

    Hivi kulazimisha Ubatizo kwa Rc Makonda ili awe Bashite kuna tija kwa Watanzania ?.

    Tija ya vyeti vya Bashite, ni kutuaminisha na kutuhakikishia watanzania kuwa nchi yetu haiongozwi Kwa double standards. Hilo ni muhimu Kama serikali yetu inakusudia kutenda haki sawa kwa wote ila Kama ni serikali ya wachache basi vyeti hivyo si muhimu.
Back
Top Bottom