Recent content by Lendomz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Bado wavulana wawili ambao ni Mameya wataondoka na kijana mmoja, tubaki wanaume

    we jamaa umnichekesha sana!!basi ngoja nikalale .usiku mwema
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM

    abaki huko huko wanakopokea wafisadi!!lakini kama atarudi na kutulia bila kutafuta uongozi wowote hapo sawa!!!apewe masharti kabisa kuwa hamna kuomba uongozi wowote!!!tafadhali sana!!! alikiharibu chama chetu sasa bulldozer anakitengeneza
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kafulila kuwa mmoja wa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni

    tena apewe haraka kabisa!!!hivi siyo mwanasheria?angefaa kwenye mahakama yamafisadi
  4. L

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA huko Iringa mjini ahamia CCM adai Peter Msigwa ni dictator,uongozi manispaa haueleweki

    Diwani wa Chadema aachia ngazi Muungwana Blog 2 Monday, November 06, 2017 Dar es Salaam. Diwani wa Chadema Kata ya Kihesa, Manispaa ya Iringa, Edgar Mgimwa amekihama chama hicho na kujiunga na CCM. Mgimwa amejiondoa katika chama hicho wakati kukiwa na ushindani mkali kati ya Chadema na...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania ipo juu!!

    demokrasia kwa Tanzania na africa kwa ujumla ni: kukubari matusi kukubari uongo kuiba usikamatwe kufoji cheti au umri usikamatwe kukwepa kodi na usikamatwe kuandika uongo magazeti usiulizwe kutetea watoto wa kike wajazwe mimba na waendelee na masomo kuuza au kuvuta unga na usikamatwe kutoa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

    kama kuna mtu anaesema kuwa CCM imengiliwa na watu wenye roho mbaya ni aidha atuambia ni kina nani hao!! kwa lugha nyepesi ni kuwa watu hao wana influence kiasi cha kukibadilisha isivyo chama .je ni wale madiwani wa arusha ,iringa nk waliyohamia CCM?Au ni watu waliyopata madaraka kwanzia 2015...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nyalandu: CCM imeingiliwa na watu wenye roho mbaya

    huyo ahame CCM bana asituchoshe bure!!aende chadema ndo kuliko na watu wenye roho nzuri!!!mjinga kabisa!!atuambie hayo wenye roho mbaya waliyoingilia ccm ni kina nani? Kama isingekuwe JPM kuwa na angalau na matendo mema unafikiri CCM leo ingekuwa madarakani?CCM ilishakuwa kichaka cha majizi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tusiwasikilize wanaopiga makelele tusonge mbele:wananchi wataamua katika mema tuyatendayo

    Ukiwasikiliza watu wanaopiga makelele utaishia kushikwa na hasira.watu wengi kama walizoea kutenda mabaya au kuishi kwa uongo ,leo ukija ukaanza kutenda mema lazima wakuchukie .Hata Yesu ,ISSA BIN MARIAM,alipoanza kuhubiri njili ya ukombozi pamoja nakuponya magonjwa mazito na wengine kufufuliwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania kumsomesha mtanzania maana yake unawekeza,je kusomesha wanaobeba mimba nikuwekeza?

    mimi nimesomeshwa degree ya kwanza na ya pili na Belgium.kipindi nasomeshwa tukiwa na watu wengine,mmojawapo ya masharti ilikuwa kuwa ukifeli mtihani hutapata tena kusomeshwa labda kuwe na medical report ambayo inaonyesha kuwa ulikuwa unaumwa. serikali inaposomesha mtoto wa kitanzania ni kwamba...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kumuhukumu binti sababu ya maumbile yake ni mfumo dume

    katika jamii nyingi za kiafrika mtoto wa kike harithi kutoka kwa wazazi wake kama atakuwa ameolewa .kwa hiyo urithi pekee anaopewa na mzazi ni elimu .ukimwelimisha mtoto wa kike umempatia urithi ambao hawezi kunyanganywa na mtu yeyote.hivyo watoto wa kike wa elimishwe umhimu na thamani ya elimu...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Au ni ile ndege wanaofana huruka pamoja?? wewe umeambiwa MTU anabugia bangi then unafanya naye urafiki unategemea nini!? Ni kurecordiwa na kurushwa hewani!!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ben Saanane, kada wa CHADEMA azua taharuki, namba yake yaleft Magroup ya WhatsApp

    I hope gazeti hili lina detailed information !! Maana MTU kapotea more than six months then unakuja na blabla ??? Inafaa mwandishi huyo akamatwe au afungiwe milele kuandika habari asizokuw na uhakika!!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Soon atakuwa mbunge Wa viti maaluum??
  14. L

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Wema Sepetu ndani ya penzi zito

    Wema atawamaliza nyie wanasiasa uchwara!! Kwenye audio ile walimtaja Nape yuko bench Sasa!! Sasa hivi ni zamu ya Mbowe!!Mbowe jiuzulu Mzee!! Hii kasfa nzito kama kweli hii ni sauti yako!!
Back
Top Bottom