Uko sahihi kabisa.Tuko mbele kwa kurudi nyuma. Hata kale ka-progress tulikokuwa tume-make kametoweka tumeiga akina m7 na karibu tutamfikia Mubabe sorry, Mugabe!
Hivi
'democracy ya kenya" walioililia kina G.Lema na P.msigwa ndo hiyo!!!!? wakiwa live,kule kenya walisifu kuwa kenya wako mbele sana kidemocrasia kuliko Tanzania!!
mm naona sisi ndo tuko mbele kidemokrasia kuliko wao!
wao ndo wanapaswa kuiga kutoka kwetu.....
yaani Tanzania tuige hayo ya kenya!!!? kweli!!?
Watanzania tusipende kujishusha kwa kila jambo.