Twende mbele na turudi nyuma,wema msimuone Kama small fish hajaanza jana wala juzi kutumia,since yupo na Naseeb alkua anatumia,ni miaka mingap mpk sas tena nahs safar yake ilianzia kwa top in Daaaar[emoji34] na hivo huwa wanaanza vionjo mwisho wanakuja Kubwia sufuria zima na kujikuta wamebobea
Sasaiv anategemea mziki,kipindi mange kamkalia kooni kuhusu ngada na mdomo wa mange ulivo na nuksi haikupita hata mwezi akadakwa na unga wa ugali hukoo zenji,nahis hapo ndo ilikua mwisho wa safar [emoji847][emoji847][emoji847]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.