Recent content by lemmy15

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba ya kupanga maeneo haya

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya shekilango, makumbusho, moroco na kinondoni. Vyumba viwili vya kulala kimoja kiwe master, jiko, sitting room na choo cha public. Nina laki mbili na nusu kwa mwezi.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 35 - 45

    siwezi kujijaji mwenyewe ila wa kawaida
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 35 - 45

    Asanteni wote kwa ushauri mlionipa nitaufanyia kazi. Suala la mtoto wala lisikupe tabu sababu uwezo wa kumsomesha ninao.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu kameza bolt, nimsaidieje?

    Mpeleka hosp haraka kabla utumbo haujapata kutu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto apigwa mabomu na Polisi

    so sad jamani
  6. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 35 - 45

    Mimi ni mwanamke wa kuanzia miaka 34-37, mkristo, nina mtoto mmoja, nimeajiriwa, natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo, awe mkristo, elimu kuanzia form four kuendelea. Awe mwaminifu na mwenye upendo. Awe ameajiriwa au mfanyabiashara. Miaka kuanzia 35-45. Awe tayari kupima virus. Pleasez...
  7. L

    JamiiForums Tanzania hodi hodi, nikaribisheni

    Mimi ni mgeni hapa naomba mnikaribishe na mnipe ushirikiano. Asanteni.
Back
Top Bottom