Recent content by leloo37

  1. L

    Nimesikitishwa na aina hii ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe

    Nikutofikiri tu hii itawageuka 2020 alafu uyo dada si stail za chadema yani haitaji watu Wa stail hiyo wanapunguza credit za chama, uyo mwana Dada ataikitokea kapata boyfriend kada Wa ccm kesho anahama tena hawajawai kua na msimamo katika maisha yao , du. Mwenyekiti ajiangalie tena, tena...
  2. L

    Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Du, chadema ina chemka sasaivi iko kama vile inasaport madawa kistail alafu wema siyo taip ya chadema ,
  3. L

    Bunge linalinda maslahi ya nani kwenye sakata hili la dawa za kulevya?

    Ningekua mwenyekiti Wa ccm ningemvua uwanachama mwanachama wangu yeyote anaeonyesha ishara zozote za kudhoofisha mapambano haya ya madawa ya kulevya
  4. L

    Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Iyo Gari itarudi na dereva siyo kwa magu
  5. L

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Watu wanapambania madawa ya kulevya we we unaongea maneno ya kwenye kanga , watu wamekua kama mazombi mjini ni watoto Wa watu kama ulivyo wewe lakini unga unawamaliza na wanajitaidi wapone lakini ndiyo ivyo hawezekani tena
  6. L

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Watu wanapambania madawa ya kulevya we we unaongea maneno ya kwenye kanga , watu wamekua kama mazombi mjini ni watoto Wa watu kama ulivyo wewe lakini unga unawamaliza na wanajitaidi wapone lakini ndiyo ivyo hawezekani tena
  7. L

    MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Lakini Wa kristo ambao siyo wakatoliki kuna swala mnanitatiza sana ivi kwanini mnakua wazito kuutambua mchango Wa mama maria katika ukombozi Wa dunia hii, ivi unawezaje kuumwabudu mwana na ukaacha kumweshimu mama , kuusu mama maria nadhani niwakati Wa maadhehebu mengine ya kikristo kujitazama na...
  8. L

    Dk. Mwele Ntuli Malecela ametoa somo kubwa kwenye vyombo vya usalama

    Na wewe unauwakikagani taarifa ya uyo mama nilikua sahihi
  9. L

    Je, Firauni (Pharaoh) alikuwa Mweusi au Mweupe?

    Misri wanakaa watu wa rangi gani, kwaiyo faraoh kama kiongozi wao ni kazima alikua na rangi yao
  10. L

    The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

    Pole sana maana ilivyo kaa miaka kumi ijayo atakua waziri wako mkuu kama si raisi wako
  11. L

    Forbes laandika kuhusu kufungwa kwa kiwanda cha Dangote Tanzania

    Mwambie dangote iviiiiii , kamaatakimakaa ya mawe na material nyinginezo kutoka Tanzania afunge kiwanda chake aondoke, kilakiwanda kisipo chukua material kutoka Tanzania itakuaje awo wanaozalisha izo material wamuzie nani kwanza sasaivi kunaviwanda kibao vya cement , au mnaogopa jina maana...
  12. L

    1500 years Old Bible found in Turkey

    Bibilia ilikuwepo ata kabla ya yesu kuzaliwa , ambalo sisi wa kristo tunaiita agano la kale na baada ya kuja yesu wakaandika waandishi wengine wanaojulikana,juu ya maisha ya yesu na na ujumbe aliokua anautoa juu ya mungu anataka nini , bibilia iyo ikaitwa agano jipya. Na atakama kweli ichokitabu...
  13. L

    1500 years Old Bible found in Turkey

    Ivyo vitabu vipo vingi tu nenda Jerusalem vimeandikwa miaaka mingi ata zaidi ya hiyo waliokua wanapinga yesu kwa maandishi walikuwepo wengi tu nawaliandika vitabu na vipo kwenye maktaba uko kama sijakosea ni Jerusalem
  14. L

    Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

    Sura yake ilibaki kwenye kitambaa alicho futwa na veronica kwenye ile siku ya mateso yake na watuwote waliokula shavu ya picha zao kutumika ni wale waliokua wanafanana naye
Back
Top Bottom