Recent content by Lelo

  1. L

    Kodi ya Mafuta Ghafi: Mo Dewji afunga kiwanda, MeTL yapunguza wafanyakazi

    Hawa wafanyabiashara ya mafuta kutoka nje wametuibia sana walikuwa wanalobby sana huko miaka ya nyuma. Mimi naunga mkono . Walikuwa wanafaidi sana. I guess walikuwa wanaleta almost finished oil na kujifanya ni raw. Wao wanafanya packaging tu.
  2. L

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    MBONA MBWENI KIJIJINI WATU HAWAJAUNGANISHIWA MAJI LICHA YA KUTUMIA MUDA KARIBU MWAKA MZIMA KUFUATILIA !!! MPAKA INATIA SHAKA ILHALI BOMBA ILIKOISHIA HAIFIKI HATA NUSU KILOMETA!!! JE MNAWASAIDIAJE WAKAZI HAO??????
  3. L

    Banki ya Dunia yatuanika: Tanzania tuna upungufu wa nguvukazi yenye elimu ya kuendesha uchumi

    That is right. The gov. can't integrate graduates into the economy. The mere fact is we are not able to research our problems and take advantage of the solutions we do have. It is just that the gov is in total blackout.
  4. L

    Kwa wanandoa tu: Hivi kwanini wake za watu mnajiamini kupita kiasi?

    HI HALI IPO SANA, ILA HILO SWALI UNGEWAULIZA HAO WAKE WAWILI UNAOWASAIDIA.
  5. L

    Taarifa ya CHADEMA kuhusu kushuka kwa Bei ya Mafuta nchini

    Si fikirii kama hii Ni sahihi kwa CHADEMA kulalamika. Wangesubiri mwezi wa Agosti ndio walalamike. Hapa cha msingi Ni gharama kushuka hichi ndicho tunachotaka. Hivi CHADEMA mnachofanya sio sahihi kitawapotezea wanachama wenu. Kama kweli hii taarifa Ni ya CHADEMA. i
  6. L

    Barua kwa Barrick Gold Chairman. J.L.Thornton, kutaka amfute kazi B.Gordon wizi na kashfa Acacia

    Thanks Samantha and your colleagues volunteers. We need such a courageous activists who really have the guts to speak and write about truth. Definitely we Tanzanians under Magufuli's presidency will reach to where we have dreamed to be. Even our government leaders and officials should embedded...
  7. L

    Ukisoma hii article utajua kwanini Leo tena wanasema Rais kadanganywa

    Sizani kama amedanganywa kwani kilichotokea nazani wamefanya sampling kwa mantiki hiyo hayo makontena yaliyofanyiwa uchunguzi ndio yametoa taswira hiyo. Ila I believe kuna makontena ambayo yana Kiwango kikubwa cha dhahabu zaidi ya kilichoonekana. Hii loophole imetumiwa sana kuweka dhahabu kuliko...
  8. L

    Nipo tayari kukosolewa: Rais Magufuli kama kawaida ameongozwa tena kwa chuki, hasira na pupa!

    Yes I am dreaming!!! Kwasababu you don't have the third eye to see. Your vision is narrow. I can't argue with you. Coward as well!
  9. L

    CCM mmechoka kuibiwa au mmechoka kutuibia?

    Mkuu vyote ulivyosema sawa isipokuwa hili la kuombea tushindwe mimi siliafiki. Ni muhimu kusaidia tuweze kujinasua huu sio wakati wa kunyoosheana kidole. Tukizubaa haitokusaidia wala haitonisaidia mimi ama familia zetu
  10. L

    Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    This post provides past information and it's outdated. The person who retrieved it is nothing rather than mkurupukaji. Hopefully hata Tindu Lissu ataiafuta hii post kwa matokeo ya uchunguzi uliotolewa. Aliyeileta ni mchonganishi tu. Currently information is the one we can make decisions upon it
  11. L

    Nipo tayari kukosolewa: Rais Magufuli kama kawaida ameongozwa tena kwa chuki, hasira na pupa!

    Kwakweli wewe ni COWARD!!!! Liwalo na liwe wacha ulimwengu ujue tunavyofanywa maskini. Ni bora tuwekewe vikwazo kama Zimbabwe kuliko kuendelea kuibiwa angali tumeshajua wanavofanya. Ni bora Rasilimali zilizobaki ikiwemo madini zibaki kama zilivyo kwakuwa mpaka sasa hazina msaada kwa mwanachi...
  12. L

    ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    Inavoonekana wamehusishwa maana walisema waliwaambia wawape report. (kama niliwasikia vema).
  13. L

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo

    I wish wangekuwa na capacity ya kufungua makontena yote kuna uwezekano mkubwa mengine yakawa na pure gold kabisa. Kwakuwa wameona nchi yetu ni shamba la kuchuma tu. Wakafungue na makontena mengine yasiachwe hivi hivi. Together we can build the best African Nation.
Back
Top Bottom