Recent content by leleshwa

  1. L

    Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    Amani ya bwana na iwe nanyi mnaopenda nchi hii iwe na amani na upendo kwa watu wote kama tulivyo pewa na Mungu.Ukweli ni kwamba huyu mzee ndio pekee atakae kinusuru chama cha mapinduzi na sio mwingine watu wengi wamejazwa uongo na watu wasiopenda jinsi nchi yetu tulivyo na upendo na amani na...
  2. L

    Lowassa anusurika kifo Morogoro

    Ni mawazo yako na wote wanaofanana na wewe ila tu usione ushabiki na wewe unashabikia na unapotoa lugha chafu sio desturi ya watanzania na kama kweli umelelewa katika desturi na mila ya kwenu basi ujue kua laana ya matusi haitapiga chenga kwako pole sana ndugu
  3. L

    Lowassa anusurika kifo Morogoro

    Watu wengine hata hawamwogopi mungu wakisikia ajali wao hufurahia je hilo basi lingeanguka ni watu wangapi tungewapoteza akiwepo mzee Lowasa?na kama kweli Lowasa ni fisadi kwanini basi msitoe ushahidi?ndugu zangu muwe na hofu ya Mungu unasheherekea kifo cha mwenzako wakati wewe hujui saa wala...
  4. L

    Hivi ni kwanini wanawake wenye makalio makubwa wanapendwa sana siku hizi?

    Hakuna lololte ni watu tu wenye nia mbaya na tamaa zao tu:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
  5. L

    Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

    Ndugu amini usiamini tungekua tunatafuta mtanzania ni nani asingepatikana hata mmoja hivyo wote ambao walizaliwa wakati wa uhuru na hata kabla ya uhuru tuamini sote ni watanzania.Ila sasa basi vitambulisho vije ili tuweze kubanana.Lakini mbona Kigoma,Kagera wamejaa makabila toka nje?huyu Rage...
Back
Top Bottom