Recent content by Leketika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya amshinda Stephen Wassira kwenye Rufaa kesi ya Ubunge

    Kuna kitu kimoja labda ambacho labda watu huwa hawaelewi! Jamanj hii kesi haikuwa ya serikali na CHADEMA. Ilikuwa ya CCM dhidi ya CHADEMA na serikali. Kwanjni nasema hivi; ni Kwa sababu mlalamikaji anamlalamikia msimamizi wa Uchaguzi, mgombea Wa upande Wa pili pamoja mwanasheria Mkuu Wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu Wa shule ya msingi anayefanya kazi Dar na angependa kwenda Arusha.

    Mke wangu ni mwalimu Wa shule ya msingi na anafanyia kazi Arusha. Kama kuna mwalimu ambaye angependa abadilishane naye au kama unamfahamu mwalimu ambaye angependa kwenda kufanyia kazi Arusha, naomba tuwasiliane kupitia namba 0759 239577
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana mikoa kwa walimu

    OK, ninapafahamu Lugoba. Mi niko Dar, ni mke wangu ndio anatafuta Wa kubadilishana naye
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana mikoa kwa walimu

    We mwl Wa level ipi maana anayetafuta Wa kubadilishana naye ni Wa shule ya msingi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana mikoa kwa walimu

    Hivi Chalinze ipo h/shauri ya wilaya ya bagamoyo au kibaha?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Picha; Ninauza kitanda na dinner set Hizi hapa.

    Hii ni dinning table wakubwa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana mikoa kwa walimu

    Chalinze Sehemu gani?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana mikoa kwa walimu

    Anyetaka kwenda Arusha ambaye ni mwalimu na yuko hapa Dar naomba tuwasiliane Kwa 0759 239577 ili tubadilishane
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana mikoa kwa walimu

    Natafuta mwalimu aliyeko Kinondoni kwenda Arusha
Back
Top Bottom