Recent content by Leesnathan

  1. Leesnathan

    Kituo cha Mabasi yaendayo haraka Mbezi, usafiri umekuwa ni tatizo

    Ni kiripoti kutoka kituo cha Mabasi yaendayo haraka Mbezi usafiri umekuwa ni tatizo. Tunaomba serikali irejeshe usafiri wa daladala au kuwe na kampuni zaidi ya moja itakayotoa huduma kwa pamoja ili kuwa na ushindani.
  2. Leesnathan

    SoC02 Mfumo wa elimu chanzo cha taifa tegemezi - Tanzania

    Nashukuru kwa mawazo nitayafanyia kazi mkuu Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  3. Leesnathan

    SoC02 Mfumo wa elimu chanzo cha taifa tegemezi - Tanzania

    Nashukuru kwa maoni yako mkuu Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  4. Leesnathan

    SoC02 Mfumo wa elimu chanzo cha taifa tegemezi - Tanzania

    [emoji1787] Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  5. Leesnathan

    SoC02 Mfumo wa elimu chanzo cha taifa tegemezi - Tanzania

    Tanzania ni nchi huru inayojitegemea katika mfumo wake mzima wa Elimu pasipo kushuritishwa na Taifa lolote duniani. Mfumo mzima wa Elimu ya Tanzania umetokana na sera na mitaala ambayo imeandaliwa na wizara ya Elimu ya Tanzania sambamba na kutungiwa sheria mbalimbali na Bunge la jamuhuri ya...
  6. Leesnathan

    Rais alipowaambia Ma-RC Makanali wasivae Kombati hadi watakaporejea jeshini alimaanisha nini?

    Mimi mtazamo wangu upo wazi Kinachotusumbua na kutuchelewesha Watanzania ni Siasa mbovu. Siasa hizi mbovu hazina mungozo wa jumla hata wa dira ya miaka 30 tu kutoka kwenye katiba yetu. Kwa mfano kila Rais anayeshika uongozi anakuja na mtazamo wake binafsi Kosa hapa ni kuchanganya jeshi na kazi...
Back
Top Bottom