Recent content by leeparks

  1. L

    JamiiForums Tanzania Taharifa kutoka Zimamoto

    VP usaili wa Jana ilikuwaje?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Taharifa kutoka Zimamoto

    usanii huo hakuna anaefahamu kilichoko huko, stay tuned hadi wakitoa
  3. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa zimamoto

    vp salary ya assistant inspector of fire and rescue?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa zimamoto

    vp usaili wa leo unaendeleaje?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kumekucha pccb hawoooo!!!

    kitu hewani maneno yaishe check website ya pccb
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kumekucha pccb hawoooo!!!

    wacha kudanganya hakuna aliyeitwa, majina yatawekwa kwenye website
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kumekucha pccb hawoooo!!!

    wacha uongo wewe
  8. L

    JamiiForums Tanzania pccb vp bado hawajaita watu? inaonekana hizo nafasi ni deal sana eti wanajamii forum

    its amazing, be creative, dont wait and predict the competitive things plan to depend on other things
  9. L

    JamiiForums Tanzania pccb vp bado hawajaita watu? inaonekana hizo nafasi ni deal sana eti wanajamii forum

    hahaaaaa, its bongoland it matter who know you
  10. L

    JamiiForums Tanzania pccb vp bado hawajaita watu? inaonekana hizo nafasi ni deal sana eti wanajamii forum

    hawa takukuru vp jamani imekuwa deal sana, maana kazi nyingi zilizotangazwa mwaka jana short list tayari, kuna nini huko?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Investigation Officer PCCB

    kazi hizo hazina proffessionals ndiyo maana lazima mwende kozi, form six na form four wako kibao katika taasisi hiyo, wewe ka ni graduate na una vigezo vyote jiandae kuitwa interview
  12. L

    JamiiForums Tanzania Investigation Officer PCCB

    huo mchakato bado ni mrefu sana, pia kama umesoma education wewe ondoa matumaini maana huwezi chukuliwa
  13. L

    JamiiForums Tanzania Investigation Officer PCCB

    muwe na subira, january wanatoa shortlist
  14. L

    JamiiForums Tanzania Investigation Officer PCCB

    masters kibao, first class kibao, upper second kibao, utaweza hiyo competition?
Back
Top Bottom