Recent content by leeh ney

  1. L

    JamiiForums Tanzania MASOMO YA ZIADA TUITION DSM

    Wanafunzi wakipatikana karibu sana! Waweza share tangazo ili walione weng! Njoo pm
  2. L

    JamiiForums Tanzania MASOMO YA ZIADA TUITION DSM

    *Mwalimu wa biology na Geography anayehitaji tuition nafundisha kuanzia form 1-6 masomo tajwa*! *Nakufata home ukihitaji au njoo Maurice high school iko mbande_kisewe stand (Dsm)* _SCHOOL CANDIDATES, PRIVATE CANDIDATES (PC) AND QT_ _WOTE MNAKARIBISHWA_ *BEI NI NAFUU SANA!* *MITIHANI YA...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Machangudoa wa Sinza Na Mbinu Mpya ya kuwapata Wanaume cheki hapa

    Hahaaaa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Weka hapa maswali ya msingi ili waadishi wa habari kwenye Press ya leo wakamuulize IGP

    Hahaaà ajira za walimu kwa IGP[emoji167][emoji167][emoji167]
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ualimu Wa sayans .....masomo hisabat na computer

    Nimeona jana uzi wake anatangaza ajira[emoji38][emoji38][emoji38]
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ualimu Wa sayans .....masomo hisabat na computer

    Umeshapata nafas au bado?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kazi wakuu

    Hii nch ninomaaa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kazi wakuu

    Duuuh ndugu yangu kafurahi kweli kumbe wanataka hela ...ulivoenda ulilipa ukapewa risit???
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kazi wakuu

    Huenda akaambiwa huko huko atoe elfu20 inauma mwenyewe anatafta hela then atoe hela??
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kazi wakuu

    Mmhh kuna bro kawapigia wamemwambia aende magomen mwisho sjui supermaket gan akifika atawakuta pia wamemsisitiza apeleke cv na asambaze tarifa kwa wengine kumbe ndo anaenda kuibiwa hvo
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kazi wakuu

    Wanaligwaje hela mkuu tupe Elimu
  12. L

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Natafta sponsorship kwa masomo ya masters interested course in parasitology msaada namna ya kupata sponsors. Natanguliza shukran
  13. L

    JamiiForums Tanzania WORK AND PROGRAM USA 2019

    Naskia wanatoza kuanzia $150
  14. L

    JamiiForums Tanzania WORK AND PROGRAM USA 2019

    Tra fees tena ??? Sjakuelewa mkuu
  15. L

    JamiiForums Tanzania WORK AND PROGRAM USA 2019

    Nimegundua nn wamemanisha[emoji38][emoji38][emoji10]
Back
Top Bottom