Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, leo tarehe 31 Agosti, 2025 imekaa na kujadili rufaa kuhusu uteuzi wa wagombea Ubunge katika Jamhuri ya Muungano na Udiwani kwa Tanzania Bara zilizowasilishwa Tume kwa ajili ya uamuzi.
=============
KUHUSU UAMUZI WA RUFAA DHIDI YA UAMUZI WA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani leo tarehe 30 Agosti, 2025 ameongoza kikao cha wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia na kufanya mabadiliko madogo kwenye ratiba ya mikutano ya hadhara ya kampeni za wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa...
Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 34(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 20(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za
Zoezi la urejeshaji wa fomu na uteuzi wa wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais...
Serikali imepokea gawio la jumla ya Shilingi Trilioni 1.028, ikiwa ni ongezeko la asilimia 34 ikilinganishwa na Shilingi Bilioni 767 zilizokusanywa mwaka 2024.
Dah jamaa cha kufanya punguza fedha unayotuma kama ni watoto wanasoma lipa ada direct shule, tafuta fanya shoping ya vyakula mwenyewe kwa kutuma mtu apeleke chakula then punguza hiyo pesa unatuma ni nyingi sana jamaa inampa kiburi huyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.