Recent content by Lee Van free

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Kwani anashida gani hadi ajifiche? Kama ni kufungwa aloshafungwa zamani adhabu zake zilishaisha.
  2. L

    JamiiForums Tanzania The rise of Tanzanian Mafia,

    Mwigulu Mafia afanyiwa umafia. Haya ndio yatakua maisha ya Nchi hii. Na bado Kuna mengi yanakuja
  3. L

    JamiiForums Tanzania The rise of Tanzanian Mafia,

    Juzi kati hapa zilisambaa habari Kuna Mkubwa mmoja alinusurika kuliwa kichwa akiwa ughaibuni. Ingefanikiwa angekua ni mtu wa tatu mzito kushughulikiwa.
  4. L

    JamiiForums Tanzania The rise of Tanzanian Mafia,

    Makundi ya kihalifu kama Mafia hua yanakua na watu was kila fani,waandishi wa habari na siku hizi watu wa mitandaoni
  5. L

    JamiiForums Tanzania The rise of Tanzanian Mafia,

    Huyu jamaa nasikia alihisika kumaliza Sana watanganyika siku ya mo 29. No mtu katili Sana. Na inasemekana alifukuzwa na mkuu was huko
  6. L

    JamiiForums Tanzania Putin super power wa mchongo

    Ni rahisi TU kupiga EU na US ikiwa moja ya nchi hizi au zote zitarusha kombora,ndege au drone kuelekea Urusi,halafu ndio useme kama yeye mwamba apige US au EU. Shida ni kwamba wanampa silaha Ukraine lkn wao hawapigi Urusi moja kwa moja. Matokeo yake kinachompata Ukraine ndio hicho. Eu na US Wana...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwamba Putin ameshaweka No fly Zone...

    Basi mwenyewe unajiona umeandika booonge la point.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wa kuivusha ccm 2030 ameshaandaliwa, na nyinyi mmejaa, CCM wajanja sana

    Nikuambie wewe kishoka,CCM hawana ujanja wowote. CCM wameng'ang'ania katiba ya zamanani TU ili kuendelea kutawala. Kama CCM ni wajanja waruhusu Katiba,mpya Tume huru, uchaguzi huru na huyu mtu wako wamuweke mafichoni Hadi atakapoiva halafu wapinzani wamsimamishe Joti. Joti atashinda. Unajiita...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

    Umesema wengi mlifikiri vita ingechukua siku tatu. Hayo ni maoni Yako na sisi tuna maoni yetu. Hata nikueleweshe vipi hautakubaliana na Mimi. Kilichobaki wewe leta taarifa zako za Urusi kupigwa Moscow na sisi tutaketa taarifa zetu za Ukraine kupigwa kiev. Tusubiri vita iishe ndio tutajua...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustin Ramadhani aliwahi kusema kesi zote huwa zinaendeshwa sehemu mbili, Mahakamani na nje ya MAHAKAMA

    Jaji Augustin Ramadhani akiongea na Mwandishi wa habari juu ya kesi Fulani,aliwahi kusema hivyo. Alisema kua kesi zote duniani hua zinasikilizwa mara mbili,ndani ya MAHAKAMA na nje ya MAHAKAMA. Alisema Nje ya MAHAKAMA alisema wakati kesi yoyote inaendelea mahakamani,huku Nje watu pia...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

    Bibi hapana ,hiyo sidhani,Ila Aunt au mama sawa.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

    Samahani lkn Niko Nje ya mada. Hivi wewe dada yangu nimekujua miaka mingi mno,je Hadi Leo bado uko dada TU? Kwa Nini usiwe Masai Mama? Naomba unisamehe lkn
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

    Tena kwa asilimia mia moja
  14. L

    JamiiForums Tanzania Burkinafaso wamejenga kiwanda cha kuzalisha sare za jeshi cha dola milioni 30

    Wenzetu Wana bahati sana kuwa na Jeshi.
  15. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupitia jicho langu siku ya October 29, 2025

    Sina shaka na hilo,shaka ni kwamba inawezekana watu wa Jaji Chande na Samuya wanapita. Humu wanatafuta habari zaidi ili waweze kuharibu ushahidi. Shida ni kwamba utamjuaje mtu mwema na mtu ajenti.
Back
Top Bottom