Habari zenyu wadau wa JF. Naomba kuuliza hivi hawa jamaa wa Viettel wameshaanza kupiga simu?? Maana muda umeshafika naona kimya au kuna ambaye ameshapigiwa??? Au ndio wanajipanga kututapeli.?? :bange:
Habari wana JF, nilikuwa naomba kujua kama hawa Viettel wameanza kuwapigia watu simu, maana nilituma application zangu muda mrefu wa wakasema kuanzia May 15, 2014 wataanza kuwapigia simu watu ila me kwangu naona kimya. Je au ndio wanajipanga kunitapeli?? Wadau naombeni msaada maana nipo katika...
Oi..Samahani wadau wa JF nilikuwa naomba msaada wa jinsi ya kuapply mafunzo ya ualimu online ktk website hizi hapa zifuatazo:- Waombaji watume maombi yao kwa njia ya MTANDAO (online application) kupitia
tovuti zifuatazo: United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training...
Israel mossad hana mpinzani dunia nzima, hata hao Wamarekani wataalam wao wengi ktk jeshi lao ni Waisrael hata ndani ya serikali ya Marekani kuna mkono wa Myahudi..:israel:
Greetings
Re: IT Officer Vacancy
Thank you for your application for the above position.
I would be grateful if you could attend an interview:
At Adexec Oil & Gas Office, Near District...
Wakuu hichi kiingereza vipi? hii sio kanjanja time kweli.?? Apply lakini ukianza kuona dalili ya yale mambo yetu, sijui tuma M-PESA kula kona.. ivyo yani..!! :flypig:
Dear,
Thank you for interested in our recruitment announcement.
I send to you details our recruitment information and application form in the attach file, please full fill in the form and send to email Viettelrecruitment@gmail.com.
After receiving your CV, we will evaluate all CV and start...
Viettel Global Investment (Viettel Global) has purchased a 65% stake in Tanzanian firm Epocha & Golden Ocean (EGOTEL) for USD18 million as part of a plan to invest up to USD337.7 million in the country. Viettel Global will inject USD61.7 into the would-be wireless operator as well as mobilising...
daviey69 - nime copy kama ilivyo kutoka kwenye email yangu, embu mpigie HR umuulize kama ndio mwenyewe au ndio mambo ya kanjanja time namba ni (+255) 765667930/ (+255) 787020844; :israel:HR anaitwa Frank aisee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.