Recent content by Lee Harvey Oswald1

  1. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yan mwez wa nane miezi miwili 2 anasema hataftalia tena hv anajua kuna watu wamefanya interview mwaka jana mwez kumi na moja wamekuja pata ajira mwaka huu mwez wa kumi...utumishi wako fair sana asee nadhan hata lengo lao ni jobless tupate ajira...wanangu nawashauri tuwe wavumilivu kauli ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana kk
  3. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana kaka kwa ushaur mzur ulionipa nitazngatia MUNGU NI MWEMA SANA.
  4. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante Sana🙏
  5. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana buda
  6. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana 🙏
  7. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana kaka
  8. L

    Asante sana kaka jana tu nmetoka kukupa pongezi leo ni zamu yako kunipongeza..MUNGU nu mwema.
  9. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asante sana kaka
  10. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wanangu feeling ya kudownload pdf na kukuta jina lako rasmi nmeiexpirience leo..nmeshndwa fanya chochote kwa sekunde kadhaa hakika MUNGU ni mkubwa sana na mimi leo natoa shuhuda..MUNGU awasaidie na nyie ndugu zangu mnaosubiria msikate tamii amini ipo siku atawasikia.
  11. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera kubwa sana kk, Mungu ni mwema
  12. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongereni wote mliopata ajira MUNGU awaongoze muwe watumishi wema...kazi nzur PSRS uzur wa hz placement zinavyozd toka na database inazd pungua..inshallah tutafikiwa tu na sisi wengne time yetu itakuja🕙
  13. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwanini wameruhusu hili?!?this is so sad kwa sisi ma jobless alaf watt wa wazaz wenye hali mbaya na wasiomjua yoyote...MUNGU atusaidie..
  14. L

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    (Airport operation officer) 1.steps za kufungua mlango wa ndege 2.Aviation negative impacts 3.Steps za kufanya research 4.Activities znazofanyka hunger ckumbk vzr kama cyo hangar ni apron 5.swl lengne nmelisahau ila nahs lilideal na mambo ya taxiway au runways... Umo umo tu Kwani TAA washatoa...
Back
Top Bottom