Recent content by lede lede

  1. L

    JamiiForums Tanzania TRA 2025: Tupeane Mbinu za kufaulu usaili (Interview) wa TRA

    sio lazima
  2. L

    JamiiForums Tanzania ajira za t.r.a 2025

    shukrani mkuu baada ya kusoma maelezo yako nimesha maliza changamoto na dogo amesha apply🙏
  3. L

    JamiiForums Tanzania ajira za t.r.a 2025

    msaada wa kuu nila nikijaribu kumsaidia dogo kuapply unakuja huu ujumbe. shida nini.?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tulioomba kazi TRA mwaka huu 2019 kupitia Secretariat ya ajira (PSRS) tutaitwa lini kwenye interview?

    salam zimefika mkuu.... huwa siongei kitu km sina uhakika.... haya nenda kaangalie jina lako.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni lini usaili wa TRA 2019 utafanyika?

    hata shortlist bado mkuu... subiri kuanzia mwezi wa tatu.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia ajira portal msaada unaitajika

    zile ni automated email... jaribu kuangalia kwenye sparm km itakuwepo, unless uombe tena km inawezekana.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia ajira portal msaada unaitajika

    ndio. wanasema wamepokea maombi yako
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia ajira portal msaada unaitajika

    km hujapata email means maombi hayaja wafikia.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia ajira portal msaada unaitajika

    sahizi ukimaliza kuaply mda huo huo wanatuma email ukisha maliza kuaply inayo onesha maombi yako yamepokelewa.... check ur email
  10. L

    JamiiForums Tanzania Usaili yetu micro bank

    bora umetusaidia kumjibu... wengine hawapati kazi kwaajili ya roho mbaya, kazi zinatangazwa wanaomba kmya kmya..... wakiona hawajaitwa ndio wanakuja jamvini kuuliza....😏
  11. L

    JamiiForums Tanzania NMB job several position wameanza kutuma email

    duh.... may be wanavigezo vingi wanavyo viangalia.
  12. L

    JamiiForums Tanzania NMB job several position wameanza kutuma email

    cv lazima isainiwe mkuu page ya mwisho baada ya declaration statement, ebu angalia mfano huo hapo zamani nmb walivyokua wanataka cv iwesigned.... hiyo nimekuchukulia ya zamani hili uelewa, lakini siku hizi hawafafanui wanajua kila mtu anaelewa kama anatakiwa kusign cv baada ya declaration...
  13. L

    JamiiForums Tanzania NMB job several position wameanza kutuma email

    l leo wametumiwa email walio apply tarehe 31 july na tarehe 1 august.... wale walio aply kuanzia tareh 2augst hadi tar 11 augst tuendelee kusubir email zipo njiani.😁
  14. L

    JamiiForums Tanzania NMB job several position wameanza kutuma email

    hiyo kusign hata shule wanafundisha mkuu hili kuthibitisha kama maelezo uliyoyaweka kwenye cv ni ya kweli na niyakwako, then tarehe inawafanya wao wajue kama cv yako umei update na sio ya zamani... lakini ngoja tuendelee kusubiri.
Back
Top Bottom