Tulioomba kazi TRA mwaka huu 2019 kupitia Secretariat ya ajira (PSRS) tutaitwa lini kwenye interview?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,895
16,214
Good morning my fellow jamiiforums members.

Tulioomba kazi TRA mwaka huu 2019 kupitia Secretariat ya ajira (PSRS) tutaitwa lini kwenye interview?

Maana ninaona tangu tufanye application ni muda mrefu umepita na siku zinazidi kwenda tu na hakuna shortlisting yoyote iliyotolewa na tume ya ajira. What's going on there? Should we still be waiting?
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,618
33,772

Bado tunalipa wanaounga mkono juhudi, pesa hakuna.

Tusubirie mauzo ya vitambulisho kwanza.
 
Team JPM

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
1,007
1,451
Interview ndo ishaanza, kupitia vyeti, CV, uzalendo n.k, kumbuka, kazi za T.R.A huomba maelfu hivyo kutenda haki, kila sifa za mwombaji zinapitiwa kwa kina. Kushindwa kuvumilia ni dalili za kushindwa usaili. Keep on waiting
Good morning my fellow jamiiforums members.

Tulioomba kazi TRA mwaka huu 2019 kupitia Secretariat ya ajira (PSRS) tutaitwa lini kwenye interview?

Maana ninaona tangu tufanye application ni muda mrefu umepita na siku zinazidi kwenda tu na hakuna shortlisting yoyote iliyotolewa na tume ya ajira. What's going on there? Should we still be waiting?
 
APEFACE

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
4,543
7,060
Nikiangalia kale ka-section ka-call for interview naona kako empty naendelea kuskilizia
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom