Recent content by lecho p

  1. lecho p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    mwisho wa yote sibagui nawashukuru wote natoka nikiwa nimejifuza mengi ninaimani nitaishi kwa amani asanteni;
  2. lecho p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    sion ulicho andika atanisubir miaka mia hujikumshaur mtu jambo kwa mtu kama hata utukane vip najua tumetofautiana koo sijaomba kila mtu anisaport vizur unajibu kutokana na mawazo yako ongeza kutukana napokea chochote
  3. lecho p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    kwa sasa nitapunguza hsira yeye hataki nifanye uamuz wowote anadai hajaona mapungufu sasa mim kinacho niumiza mimi sipendi nimkwaze yeye kwanin anikwaze?au mwenzangu anaroho ya nyama mim ninayachuma asichokipenda lazima nimsikilize.au alijua sir sintokaa nijue
  4. lecho p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    vampire hakuna sijawona ningewaambia nilipo ndugu yangu ndo mme wangu nimaisha ya utafutaji nakumbana na haya hata anaejua nipo humu amuna zaid ya mume wangu nahajui kama naandika haya humu hakuna anaenjua mim nani
  5. lecho p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    unamaanisha mim ndo nilimtongoza au umepungukiwa na mawazo we ndo ukute unaishi kwa kusukuma siku hayo sio maisha lazima ukiwa hai namzima uyatambue maisha yako usukumwe tuu jitambue ili muheshimiane sio kuburuzana hayo sio masha jichunguze alafu amka na mabadiko ili badae uyaone matunda
  6. lecho p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    ndo mana jambazi kuazia mawazo yako nikutokee sivi utanitamani usijibu kitu kama hujakiewa humu hawatakiwi majabazi
  7. lecho p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    kweli mme nishusha pumzi sina pa kupeleka matatizo nilipo tuko mbali nafamiliy zote mbili ila ushaur wenu wengi wao mwenyez mungu awa barki
  8. lecho p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    ndo staki tenar kuolewa
  9. lecho p

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nijue tabia za mume wangu hisia zimepotea

    Kiukweli nimetokea kumchukia mume wangu hali akirudi napatwa na ugonjwa wa mawazo, imetokea hata sifa zakua na mimi tena sizioni. Mimi ni mwamifu mwenzagu malaya,napenda kuwa mtu wadini mwezangu haijulikani dini yake,napenda kujituma kwa ajili ya maedeleo yetu. Mwenzagu akipiga stori za umbea...
  10. lecho p

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

    duu! inasikitisha ukijidhamin utadhaminwa kama ni mwaminifu atakuvumilia usijirahisishe
  11. lecho p

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke/mchumba

    kunawayao huku wanashida kweli na kuolewa wange kuona wagejipaga mstar
  12. lecho p

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ugoni/uzinzi

    duu maisha ya siku hiz yananishangaza sana watu hawa tosheki. hao niwatu wazima watasuluhishana wenyewe
  13. lecho p

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ufahamu kuhusu ndoa na talaka

    mim miaka mitatu na mali nyigi tumechuma wote na sizifikirii nataka nakapambane kutafuta mim peke yangu mpaka nihakikishe nimempiga chin wakwti wakusaliana umepitwa na wakat piga kaz kiume heshima iwepo
  14. lecho p

    JamiiForums Tanzania Serikali/Chikawe: Tumefurahishwa na amani iliyowala wakati wa maandamano

    nikwekli kaka
  15. lecho p

    JamiiForums Tanzania CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    majambaz na vibaka
Back
Top Bottom